Pre GE2025 Chama cha UDP kimemchagua John Cheyo kuwa Mwenyekiti kwa awamu nyingine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni kweli kabisaa,
muhimu zaidi ni kuheshimu maamuzi ya wanachama wa UDP, kumchagua nguli huyu wa siasa ambae hajazoea kua nje ya uenyekiti 🐒

kila la kheri UDP, Demokrasia imechukua mkondo wake
 
Hicho chama bado kipo?
Mzee Cheyo jua limeshazama sana, usiku umesonga, apumzike tu kulinda afya yake.
Apumzike kwani uenyekiti ni kubeba mzigo kichwani, sisi wanachama bado tunamkubali sana tu
 
Hicho chama bado kipo?
Mzee Cheyo jua limeshazama sana, usiku umesonga, apumzike tu kulinda afya yake.
Apumzike kwani uenyekiti ni kubeba mzigo kichwani, sisi wanachama bado tunamkubali sana tu
 
Hiki chama kipo!!!
Ni kama mwenyekiti hujichagua mwenyewe
Sijui wajumbe wake ni nani
Wajumbe walikuwepo mkutanoni wakutosha kabisa... wamemwaga sifa kwa mzee mapesa kedekede!!
 
Hutu tuvyama huwa muhimu kwa CCM kwenye chaguzi maana ndo hutoa akidi katika zile kura za mapingamizi dhidi ya CHADEMA!!
 
Huyu mzee anakuwaga na madini sana.
Me huwa napendaga kumsikiliza.
 
Kunya anye Kuku, akinya BATA kaharisha......
 
Vijana wa Nyerere hao! Walipewa "mpunga" wakaanzishe vyama. He has been paid handsomely ever since, living his paycheck.
 
Ataendelea na majukumu yake makuu-:
Kuhudhuria makongamano ya Msajili wa Vyama vya siasa
Kuhudhuria mikutano ya TCD
Kuikashifu Chadema mara kwa mara
Ila amepungukiwa jukumu moja la kumsifia hayati Magufuli.
Hakuna la zaidi
 
ofisi zake ziko wapi? CCM B , takataka tupu mavi
 
Duh...!.
What a missed opportunity kwangu, nimeikosa fursa hii, Mzee John Memosa Cheyo alinikaribisha kugombea Uenyekiti baada ya kumuuliza kwanini kila siku yeye bado ndie Mwenyekiti wa UDP, akajibu wajumbe wana imani naye hivyo wanamchagua yeye, kumbe wamemchagua tena kuwa Mwenyekiti wao for 5 years tena!.

Kitu kizuri kumhusu John Cheyo, pamoja na umri mkubwa wake, upstairs bado yuko vizuri, msikilize hapa
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=tNwKVC63wQROhekYP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…