Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

Mbona mnarudi kule kule walipofeli kina Mwalimu
Kila mtu ana uwezo wa akili tofauti na mwenzake Mwalimu sio final say wa taifa hili amekwisha kufa hatuwezi kushindwa kufanya jambo kisa yeye lilimshinda.

Hata China alianza Chairman Mao na Pure Socialism ukamshinda akaja Architecture Deng akafanya Socialism with chinese characteristics akafaulu .

Kwa hiyo inabidi tujifunze mahali aliposhindwa Mwalimu na sisi kufanya tofauti na yeye ili tusije zama kwenye kisima alicho zama Mwalimu.
 
Sekta binafsi itashindanaje na serikali wakati serikali ina nguvu ya dola na inatunga sheria ambazo sekta binafsi inabidi izifuate? Halafu sekta binafsi ndiyo inalipa kodi wakati serikali inatumia hiyo kodi halafu warudi kushindana. Hayo yatakuwa ni mashindano kweli?
Haitokuwa ya virungu na unyonyaji tena kama ulivyoona KWA miaka Mingi hii!katiba mpya italinda watu na mali zao na serikali kitawekwa misingi mizuri kuhakikisha sekta binafsi haifi bali inalindwa na kustawi kuanzia chini Hadi juu!

TUSUBIRI!
 
Ujamaa wa kisasa hautokuwa sawa na wa Mwalimu !kutokana na mahitaji ya Zama hizi!sisi tutakaa meza Moja na sekta binafsi na kuleta mstakabali ulio sawa KWA WANANCHI wetu!hatutoiua sekta Binafsi bali tutaiboresha ili ilete tija kwa jamii!

Mfano leo wafanyabiashara wa mafuta wanatesa wananchi KWA kujipanga bei wanayotaka sisi kama chama na serikali tutashusha bei kuwa ya Kati yenye maslahi KWA wananchi yaani ujamaa wetu utakuwa regulator wa sekta binafsi kutowaumiza wananchi!!

Tutajikita katika ujasusi wa uchumi na sio tu ujasusi wa kushika dola ambao umetamalaki tangu Uhuru!!!
Ni jambo zuri hizi mbinu wana zitumia sana China na Vietnam kwa sasa , ujamaa usio faa ni ule wa North Korea.
 
Sawa , lakini hatufahamu ni lini katiba mpya itapatikana ?
Mkuu

Usijali

KWA kuwa chama tawala kimeshatangaza Rasmi mchakato kuendelea maana yake huko jikoni wanapika vikiiva watavileta sebuleni tule!!

Nadhani ndani ya miaka sita hii ijayo katiba itapatikana!
 
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao.

Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza kutimia kwamba KILA Mwezi mwananchi wa kawaida apate gawio la Rasilimali zilizopo kutokana na uwekezaji unaoendelea kufanywa kwenye migodi,Mbuga za wanyama na vivutio mbali mbali vya utalii!!?

Tunaomba mchango wenu katika hilo tupate pa kuanzia,Sijawahi kusikika hili jambo tangu kuanzisha KWA Taifa hili!Tuna dhamira ya dhati kabisa kuhakikisha KILA mtanzania anafaidika Moja KWA Moja na rasilimali hizi huko mbeleni KWA kupata gawio la Moja KWA Moja ambalo litamsaidia kujikimu kimaisha kama nchi zilizoendelea zinavojali Hali ya Maisha ya wa Hali ya chini.

Sisi kama wajamaa wa kisasa tuna lengo la kulifanya jeshi la magereza na jkt kama kitovu kikuu cha uchumi wa nchi yetu KWA kuanzia kwenye kilimo,usafirishaji wa bidhaa na abiria na VIWANDA kama ifuatavyo;-

KILIMO NA MIFUGO

Serikali yetu itatenga maeneo makubwa ya kilimo na ufugaji,kilimo cha mazao ya chakula na biashara pamoja na usindikaji wake Ili kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula kama mafuta ya kula!tutakuwa na maduka ya vyakula ya umma!bidhaa zote zitatoka VIWANDA vya serikali Ili kudhibiti mfumuko wa bei kutoka sekta Binafsi.

Jeshi la magereza na jkt ndio wazalishaji wakuu na kitovu kikuu cha uchumi wetu!tutajenga makambi mashambani na wataishi huko huko kama wazalishaji wakuu!kesi za mahabusu zitaharakishwa Ili kupata nguvu kazi na vijana WENGI waliomaliza darasa la saba na kidato cha nne watajiunga na jkt na kutumika KWA miaka kumi mfululizo Ili kulitumikia nchi yao !na sera hii itapunguza idadi ya wahuni mtaani!

Maziwa,nyama na bidhaa nyingi zitazalishwa KWA wingi ili kuwafikia watumiaji kirahisi na KWA bei nafuu mfumuko wa bei utaisha,pia serikali itapata mapato mengi kuliko kutegemea Tozo na kodi pekee!tutashirikiana na sekta binafsi katika uuzwaji wa bidhaa hasa machinga na wenye mitaji mikubwa!

UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI

Vyombo vya usafiri vya serikali vitachuana na sekta binafsi Ili kuleta tija kwa wasafiri kuanzia boda boda,bajaji,dala dala,malori na mabasi yatachuana vilivyo na sekta binafsi Ili kudhibiti mfumuko wa bei za nauli kiholela holela!!

Hayo ni baadhi ya malengo makuu ya chama chetu Baada ya katiba kupatikana !tumeona sekta Binafsi pekee imeshindwa kuwa msaada na kuwa mnyonyaji wa wananchi.

Wakati wa kurudi kwenye misingi ya uwajibikaji umefika!

Tunaomba mchango wenu kufanikisha azma na ndoto hii kutimia kwa nchi yangu Tanzania.

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Wazo zuri,

Juzi YOWERI MUSEVENI kaongea point muhimu tuifanyie KAZI nanukuu:

"Kuwa na NATURAL RESOURCES ni jambo moja, bt Kuzibadili national Resources Ili ziku TAJIRISHE ni jambo jingine"

Mfano.
1. Tuna ardhi ya kutosha Kwa kilimo bt kilimo chenye kuleta tija kinahitaji uwekezaji kwenye ELIMU na utafiti, Mitaji na vitendeakazi.

Kumbe unaweza kuwa na Mali na Bado ukawa maskini.

Tuna madini Nchi nzima Kweli, bt yatatutajirishaje kama Nchi ikiwa ELIMU na teknolojia ya kuyachimba hatuna,

Kuyabadili madini Ili yawe Vito na yauzwe kibiashara ni jambo jingine, je tuna ELIMU ya kutosha juu ya mambo hayo?

Hatujawekeza vya kutosha Badala yake uchimbaji unaenda kuharibu vyanzo vya maji Kwa kutiririsha zebaki.

3. Tuna Bahari na maziwa ukubwa wa kutosha, bt Umewatajirisha wavuvi na Nchi Kwa kiasi Gani?

Ili bahari itutajirishe tunahitaji Meli za kisasa za uvuvi, je tunaweza kuzitengeneza? Kama ni hapana, itabidi tupate pesa za kuwalipa watujengee au tushirikiane nao na tatizo huanzia hapo!!!

SOLUTION.

1. Raslimali Ili zitutajirishe tunahitaji kuwekeza kwenye ELIMU, ELIMU, ELIMU kama alivyosema Mzee wa mamvi.

Tofauti na hapo lazima tutakuwa vibarua ktk Kuzibadili raslimali zetu wenyewe kuwa matajiri.

ELIMU ni solution no moja. Na zingine zitafuata juu ya msingi wa ELIMU.

Tukiisoma vizuri RASIMU alosimamia Judge WARIOBA imeyaangalia mambo haya vizuri, Tuipambanie itatupa njia hata ya Kupata Vyama vitakavyoendana na Maono yetu kama Nchi.

Ameeeen.
 
Hii Ndio Tanzania ninayoiota usiku na mchana!!

Na iwe Hivyo!!
 
Elimu, Elimu , Elimu [ Elimu ni kama risasi kwenye bunduki , bunduki bila risasi inakuwa haina kazi ].
 
Sekta binafsi inaondoa tatizo la ukosefu wa ajira pia inachochea ongezeko la makusanyo ya kodi
Ni kosa kubwa kama serikali ikiiwekea ukungu wa mafanikio sekta binafsi, inabidi tupeleke vijana China tukajifunze namna wanavyo weza kuendesha haya mashirika na kuleta mafanikio makubwa China na duniani pasipo kuingilia na kuathiriana:- i, STATE OWNERSHIP/STATE OWNERSHIP ENTERPRISES
ii, PRIVATE OWNERSHIP
iii, COLLECTIVE OWNERSHIP
 
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao.

Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza kutimia kwamba KILA Mwezi mwananchi wa kawaida apate gawio la Rasilimali zilizopo kutokana na uwekezaji unaoendelea kufanywa kwenye migodi,Mbuga za wanyama na vivutio mbali mbali vya utalii!!?

Tunaomba mchango wenu katika hilo tupate pa kuanzia,Sijawahi kusikika hili jambo tangu kuanzisha KWA Taifa hili!Tuna dhamira ya dhati kabisa kuhakikisha KILA mtanzania anafaidika Moja KWA Moja na rasilimali hizi huko mbeleni KWA kupata gawio la Moja KWA Moja ambalo litamsaidia kujikimu kimaisha kama nchi zilizoendelea zinavojali Hali ya Maisha ya wa Hali ya chini.

Sisi kama wajamaa wa kisasa tuna lengo la kulifanya jeshi la magereza na jkt kama kitovu kikuu cha uchumi wa nchi yetu KWA kuanzia kwenye kilimo,usafirishaji wa bidhaa na abiria na VIWANDA kama ifuatavyo;-

KILIMO NA MIFUGO

Serikali yetu itatenga maeneo makubwa ya kilimo na ufugaji,kilimo cha mazao ya chakula na biashara pamoja na usindikaji wake Ili kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula kama mafuta ya kula!tutakuwa na maduka ya vyakula ya umma!bidhaa zote zitatoka VIWANDA vya serikali Ili kudhibiti mfumuko wa bei kutoka sekta Binafsi.

Jeshi la magereza na jkt ndio wazalishaji wakuu na kitovu kikuu cha uchumi wetu!tutajenga makambi mashambani na wataishi huko huko kama wazalishaji wakuu!kesi za mahabusu zitaharakishwa Ili kupata nguvu kazi na vijana WENGI waliomaliza darasa la saba na kidato cha nne watajiunga na jkt na kutumika KWA miaka kumi mfululizo Ili kulitumikia nchi yao !na sera hii itapunguza idadi ya wahuni mtaani!

Maziwa,nyama na bidhaa nyingi zitazalishwa KWA wingi ili kuwafikia watumiaji kirahisi na KWA bei nafuu mfumuko wa bei utaisha,pia serikali itapata mapato mengi kuliko kutegemea Tozo na kodi pekee!tutashirikiana na sekta binafsi katika uuzwaji wa bidhaa hasa machinga na wenye mitaji mikubwa!

UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI

Vyombo vya usafiri vya serikali vitachuana na sekta binafsi Ili kuleta tija kwa wasafiri kuanzia boda boda,bajaji,dala dala,malori na mabasi yatachuana vilivyo na sekta binafsi Ili kudhibiti mfumuko wa bei za nauli kiholela holela!!

Hayo ni baadhi ya malengo makuu ya chama chetu Baada ya katiba kupatikana !tumeona sekta Binafsi pekee imeshindwa kuwa msaada na kuwa mnyonyaji wa wananchi.

Wakati wa kurudi kwenye misingi ya uwajibikaji umefika!

Tunaomba mchango wenu kufanikisha azma na ndoto hii kutimia kwa nchi yangu Tanzania.

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Mshafeli kabla hamjanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah wapi kama tu kuendesha maisha yao wameshindwa ndo wataweza
 
Sekta binafsi inaondoa tatizo la ukosefu wa ajira pia inachochea ongezeko la makusanyo ya kodi
Baada ya vijana wetu kupelekwa jkt na kutumika KWA Miaka kumi au pungufu ya Hiyo atakua amefanya KAZI sekta nyingi za uchumi na kuiva rasmi KWA kujiajiri mwenyewe!!

Vijana wetu wengi watakuwa na uwezo wa kujiajiri Sana kuliko hata kuajiriwa kama ilivyo Sasa!!

Tusubiri
 
Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao.

Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza kutimia kwamba KILA Mwezi mwananchi wa kawaida apate gawio la Rasilimali zilizopo kutokana na uwekezaji unaoendelea kufanywa kwenye migodi,Mbuga za wanyama na vivutio mbali mbali vya utalii!!?

Tunaomba mchango wenu katika hilo tupate pa kuanzia,Sijawahi kusikika hili jambo tangu kuanzisha KWA Taifa hili!Tuna dhamira ya dhati kabisa kuhakikisha KILA mtanzania anafaidika Moja KWA Moja na rasilimali hizi huko mbeleni KWA kupata gawio la Moja KWA Moja ambalo litamsaidia kujikimu kimaisha kama nchi zilizoendelea zinavojali Hali ya Maisha ya wa Hali ya chini.

Sisi kama wajamaa wa kisasa tuna lengo la kulifanya jeshi la magereza na jkt kama kitovu kikuu cha uchumi wa nchi yetu KWA kuanzia kwenye kilimo,usafirishaji wa bidhaa na abiria na VIWANDA kama ifuatavyo;-

KILIMO NA MIFUGO

Serikali yetu itatenga maeneo makubwa ya kilimo na ufugaji,kilimo cha mazao ya chakula na biashara pamoja na usindikaji wake Ili kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula kama mafuta ya kula!tutakuwa na maduka ya vyakula ya umma!bidhaa zote zitatoka VIWANDA vya serikali Ili kudhibiti mfumuko wa bei kutoka sekta Binafsi.

Jeshi la magereza na jkt ndio wazalishaji wakuu na kitovu kikuu cha uchumi wetu!tutajenga makambi mashambani na wataishi huko huko kama wazalishaji wakuu!kesi za mahabusu zitaharakishwa Ili kupata nguvu kazi na vijana WENGI waliomaliza darasa la saba na kidato cha nne watajiunga na jkt na kutumika KWA miaka kumi mfululizo Ili kulitumikia nchi yao !na sera hii itapunguza idadi ya wahuni mtaani!

Maziwa,nyama na bidhaa nyingi zitazalishwa KWA wingi ili kuwafikia watumiaji kirahisi na KWA bei nafuu mfumuko wa bei utaisha,pia serikali itapata mapato mengi kuliko kutegemea Tozo na kodi pekee!tutashirikiana na sekta binafsi katika uuzwaji wa bidhaa hasa machinga na wenye mitaji mikubwa!

UCHUKUZI NA USAFIRISHAJI

Vyombo vya usafiri vya serikali vitachuana na sekta binafsi Ili kuleta tija kwa wasafiri kuanzia boda boda,bajaji,dala dala,malori na mabasi yatachuana vilivyo na sekta binafsi Ili kudhibiti mfumuko wa bei za nauli kiholela holela!!

Hayo ni baadhi ya malengo makuu ya chama chetu Baada ya katiba kupatikana !tumeona sekta Binafsi pekee imeshindwa kuwa msaada na kuwa mnyonyaji wa wananchi.

Wakati wa kurudi kwenye misingi ya uwajibikaji umefika!

Tunaomba mchango wenu kufanikisha azma na ndoto hii kutimia kwa nchi yangu Tanzania.

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"
Broo tafuta kazi nyingine ya kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah wapi kama tu kuendesha maisha yao wameshindwa ndo wataweza
Hilo ni tatizo tulilo nalo , lakini hatupaswi kukubali matatizo yetu yawe sugu kwetu bali inabidi tuya komeshe kwa sheria kali zenye adhabu kali.
 
Back
Top Bottom