PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

PreGE2025 Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) wapo LIVE Jijini Mwanza muda huu Juni 3, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nkikumbuka zile mbwembwe, na hapo ni mwanza vipi mikoa kama Lindi,Katavi,Tabora,Simiyu😁
 
Hawa jamaa wasambaratikie tu vyama vingine wakaangalie chochote kitu
 
Mrema alitaka ACT wampe usemaji wa chama kisa ana akaunti ya watu 240 elfu ya Chadema wakamtolea nje.
 
ndiyo mjuwe heche ni bumunda tu halijui kitu nayote anayowaeleza ni ya uongo
Heche ni bumunda ndio ila hamzidi aliyepata division 0 ila anakomalia kupewa PhD na kulazimisha kuitwa daktari.

Halafu jifunze kuandika kwanza.
 
mbona hakuna nyomi
CHAUMA wahutubia ng'ombe
IMG-20250603-WA0090.jpg
 
Back
Top Bottom