Ameonesha ubinafsi na kwann kila wakati wenzake wakitaka uemyekiti hataki hzo habari na kuwaona wasaliti wanao mchallange. Mtu asiye amini katika maono ya wenzake na yeye asiaminiwe hafaiAmeshajifunua kitabia hataheshimika
Ushauri ni kazi nyeti sana
Alifukuzwa kwenye Uchafuzi kama huu wa Chadema ππSi Mama Tanzania alijimilikisha kwa miaka 20 hadi alipoona hakina maslahi tena.
Ushauri mzuri, lakini wacha kwanza wapambanishwe na hasimu wake tuone.Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana ππ₯
Kuna jogoo house pale Magomeni. Nataka nijiunge TLP kisha nigombee uenyekiti nijimilikishe Jogoo houseNccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana ππ₯
Kwenye fair ground Freeman hamuwezi Lisu kabisa πUshauri mzuri, lakini wacha kwanza wapambanishwe na hasimu wake tuone.
Haujawahi kugombanisha majogoo ama mafahari ya ng'ombe ukaona raha yake?
Ngoja kwanza uchaguzi upite ndiyo tumshauri vinginevyo.
Akihama mapema itaonekana amewaogopa na watatamba sana mafisadi hawa.
Ni Taifa ndio litazidiwa ila watu wake sisi tupo uchumi wa katiBABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Kile Chama kilikuwa cha Muhaya fulani Lyatonga akamdhulumu ππKuna jogoo house pale Magomeni. Nataka nijiunge TLP kisha nigombee uenyekiti nijimilikishe Jogoo house
Wilfrem Mwakitwange alikuwa ni mwanzilishi wa chama cha PONA, hakuhusika na kuanzisha CHADEMA,Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Kwahiyo CCM wamechimba kaburi la pili waangalie tu wasije wakazikwa wenyewe.
Mwamba umebadilika tena? Kweli kabla ya tarehe 21 Lissu atabaki peke yake!Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana ππ₯
Nakunya hapa hadi Msumbiji, amshukuru Mbowe kwa kumbeba kutoka huko alikokuwa hajulikani hadi kuja kuaminiwa ChademaIna Msingi Imara Sana hadi Vijijini Lisu akirejea itakuwa Chama kikuu Cha Upinzani
Kwani Freeman alikuwa anajulikana?Nakunya hapa hadi Msumbiji, amshukuru Mbowe kwa kumbeba kutoka huko alikokuwa hajulikani hadi kuja kuaminiwa Chadema
Umesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?Kwenye fair ground Freeman hamuwezi Lisu kabisa π
Ila kwenye SIHASA atamgaragaza ππ
CCM haiwezi kuhangaika na Chadema huyo Mbowe ni mwajiriwa wa RA πΌUmesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?
Kama mjumbe hajajenga mwaka huu, atakufa masikini.
Sana tu hata kabla hajaingia moja kwa moja kwenye siasa. Labda wewe ulikuwa haujaja mjini maana alikuwa mafanyabiasha wa siku nyingi tangu enzi ya baba'ke na ndiye mtu wa kwanza kuingiza gari ya BMW hapa bongo, achilia mbali klabu yake ya Bilicanas ambayo kila mjanja wa mjini na mgeni wa kimataifa lazima aende pale kustareheKwani Freeman alikuwa anajulikana?
Mbowe ni tajiri kitambo kama ulikuwa hujui, hakuupata utajiri Chadema zaidi ya kukisaidia chama, bado ana mijengo ya maana Mikocheni, Machame, Dodoma, London hebu cheki huu mjeno wa Machame ambako wanafiki akina Msigwa na Heche, pamoja na Lema walimtembelea Novemba mwaka 2023, roho zikawauma hadi sasa wakamshawishi Lissu agombee uenyekiti. Wivu tuUmesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?
Kama mjumbe hajajenga mwaka huu, atakufa masikini.