Chama cha Upinzani ambacho hakinaga mmiliki ni NCCR Mageuzi, kinafahamika Nchi mzima Tundu Lissu arejee kukiimarisha

Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini

Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama

Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂

Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi

21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla

Ahsanteni Sana 😂🔥
Ushauri mzuri, lakini wacha kwanza wapambanishwe na hasimu wake tuone.

Haujawahi kugombanisha majogoo ama mafahari ya ng'ombe ukaona raha yake?

Ngoja kwanza uchaguzi upite ndiyo tumshauri vinginevyo.

Akihama mapema itaonekana amewaogopa na watatamba sana mafisadi hawa.
 
Kuna jogoo house pale Magomeni. Nataka nijiunge TLP kisha nigombee uenyekiti nijimilikishe Jogoo house
 
Ushauri mzuri, lakini wacha kwanza wapambanishwe na hasimu wake tuone.

Haujawahi kugombanisha majogoo ama mafahari ya ng'ombe ukaona raha yake?

Ngoja kwanza uchaguzi upite ndiyo tumshauri vinginevyo.

Akihama mapema itaonekana amewaogopa na watatamba sana mafisadi hawa.
Kwenye fair ground Freeman hamuwezi Lisu kabisa 😂

Ila kwenye SIHASA atamgaragaza 😄😄
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Ni Taifa ndio litazidiwa ila watu wake sisi tupo uchumi wa kati
 
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Wilfrem Mwakitwange alikuwa ni mwanzilishi wa chama cha PONA, hakuhusika na kuanzisha CHADEMA,
 
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini

Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama

Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂

Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi

21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla

Ahsanteni Sana 😂🔥
Mwamba umebadilika tena? Kweli kabla ya tarehe 21 Lissu atabaki peke yake!
 
Kwenye fair ground Freeman hamuwezi Lisu kabisa 😂

Ila kwenye SIHASA atamgaragaza 😄😄
Umesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?

Kama mjumbe hajajenga mwaka huu, atakufa masikini.
 
Kumbe akina mmiliki ngoja nikaokote TU.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Umesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?

Kama mjumbe hajajenga mwaka huu, atakufa masikini.
CCM haiwezi kuhangaika na Chadema huyo Mbowe ni mwajiriwa wa RA 🐼
 
Kwani Freeman alikuwa anajulikana?
Sana tu hata kabla hajaingia moja kwa moja kwenye siasa. Labda wewe ulikuwa haujaja mjini maana alikuwa mafanyabiasha wa siku nyingi tangu enzi ya baba'ke na ndiye mtu wa kwanza kuingiza gari ya BMW hapa bongo, achilia mbali klabu yake ya Bilicanas ambayo kila mjanja wa mjini na mgeni wa kimataifa lazima aende pale kustarehe
 
Umesikia juzi Dr Slaa alivyosimulia namna mikakati ya kupenyesha rupia kwenye uchaguzi wa Cdm inavyofanywa na Samia na Mbowe?

Kama mjumbe hajajenga mwaka huu, atakufa masikini.
Mbowe ni tajiri kitambo kama ulikuwa hujui, hakuupata utajiri Chadema zaidi ya kukisaidia chama, bado ana mijengo ya maana Mikocheni, Machame, Dodoma, London hebu cheki huu mjeno wa Machame ambako wanafiki akina Msigwa na Heche, pamoja na Lema walimtembelea Novemba mwaka 2023, roho zikawauma hadi sasa wakamshawishi Lissu agombee uenyekiti. Wivu tu
MACHAME.jpg
 
Back
Top Bottom