Heche ni mchagga wa Marangu.Ni afadhali kuliko Chama Cha Mchagga mmoja ππ
Kwani siasa ni nini?.Siasa ni kazi na maisha kama kazi zingine.Tukielewa hilo wala huwezi kubabaika vinginevyyo labdaa utuambie ni siasa gani ambayo watu hawanufaiki.Hataweza tena kutimiza ndoto yake akiwa Chadema
Mbowe amekuwa muwazi Sana ashukuriwe Kwa hilo
Chadema ni biashara Siyo Siasa πΌ
Kwani Zitto Kabwe na Nondo ni Wapemba?Heche ni mchagga wa Marangu.
Weche ni mchagga wa Kibosho.
Sugu ni mchagga wa Rombo.
Lubaga Jackson ni mchagga wa Kirua
Steven Wel well ni mchagga wa Kilema
Catherine Ruge ni mchagga wa Kishumundu
Acha kukimbilia siasa nyepesi.
Siasa ni mtambukaKwani siasa ni nini?.Siasa ni kazi na maisha kama kazi zingine.Tukielewa hilo wala huwezi kubabaika vinginevyyo labdaa utuambie ni siasa gani ambayo watu hawanufaiki.
Siasa hakuna adui wa kudumuAkajisalimishe kwa Zitto siyo - ni wazo zuri.
Wachaga chukueni time bana,ujasiriamali mpaka ujasiriasiasaHeche ni mchagga wa Marangu.
Weche ni mchagga wa Kibosho.
Sugu ni mchagga wa Rombo.
Lubaga Jackson ni mchagga wa Kirua
Steven Wel well ni mchagga wa Kilema
Catherine Ruge ni mchagga wa Kishumundu
Acha kukimbilia siasa nyepesi.
Huko si alifukuzwa? Nacho ni chama Cha wachagaNccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana ππ₯
Hapana Mbowe alienda kumuomba aje arithi mikoba ya Mbobezi Mabere Nyaucho πHuko si alifukuzwa? Nacho ni chama Cha wachaga
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao π
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana ππ₯
Unawaita wanafiki kwasababu wanamuunga mkono Lissu kugombea uenyekiti ama vipi?Mbowe ni tajiri kitambo kama ulikuwa hujui, hakuupata utajiri Chadema zaidi ya kukisaidia chama, bado ana mijengo ya maana Mikocheni, Machame, Dodoma, London hebu cheki huu mjeno wa Machame ambako wanafiki akina Msigwa na Heche, pamoja na Lema walimtembelea Novemba mwaka 2023, roho zikawauma hadi sasa wakamshawishi Lissu agombee uenyekiti. Wivu tuView attachment 3195880
ππππ Kama mzigo unamuelemeaa autue tuKwa kweli dunia inaenda kasi.
Leo Mbowe ndio mtu wa kutumia mbinu za CCM za kujijenga kisiasa huku akilalamika eti Tundu Lisu anatumiwa π€£π€£π€£π€£π€£
Mbowe ndio mtu wa kuungana na CCM kwa wazi na kumwita Tundu Lisu ni mropokaji π€£π€£π€£Kisa Nyota ya Lisu inang'aa kwa sasa kuliko wanasiasa wote Tanzania.
Mbowe anasema kuwa kiongozi wa Chama ni mzigo lakini hataki kuutua . Huu si utapeli !!!
Alipinduliwa na ndugu yake Joseph SelasiniππKwani James Mbatia kafa
umeambiwa hana hela za kununua wajumbe!Lissu ndiye mwenyekiti ajaye wa Chadema
kulitokea za kuleta akawekwa kando, si mwenyekiti na hasikiki yuko wapiKwani James Mbatia kafa
Hela siyo kila kitu. Watu wanaweza kula hela yako na kura wasikupigie.umeambiwa hana hela za kununua wajumbe!
na wafanye hivyo kwa mboweHela siyo kila kitu. Watu wanaweza kula hela yako na kura wasikupigie.
Mboga mboga kina mmiliki kwani,anataka akizingua sana M.kiti kwa msaada wa mboga mboga atatiatimu kuiimarisha mboga mboga.Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini