Chama cha Upinzani ambacho hakinaga mmiliki ni NCCR Mageuzi, kinafahamika Nchi mzima Tundu Lissu arejee kukiimarisha

Ni afadhali kuliko Chama Cha Mchagga mmoja 😂😂
Heche ni mchagga wa Marangu.
Weche ni mchagga wa Kibosho.
Sugu ni mchagga wa Rombo.
Lubaga Jackson ni mchagga wa Kirua
Steven Wel well ni mchagga wa Kilema
Catherine Ruge ni mchagga wa Kishumundu

Acha kukimbilia siasa nyepesi.
 
Kwani lazima ashinde?.Na akishindwa ni lazima ahame chama?.Nyie wapambe ndio mnaofanyaga wajinga waone kama siasa ni ugomvi.
 
Hataweza tena kutimiza ndoto yake akiwa Chadema

Mbowe amekuwa muwazi Sana ashukuriwe Kwa hilo

Chadema ni biashara Siyo Siasa 🐼
Kwani siasa ni nini?.Siasa ni kazi na maisha kama kazi zingine.Tukielewa hilo wala huwezi kubabaika vinginevyyo labdaa utuambie ni siasa gani ambayo watu hawanufaiki.
 
Heche ni mchagga wa Marangu.
Weche ni mchagga wa Kibosho.
Sugu ni mchagga wa Rombo.
Lubaga Jackson ni mchagga wa Kirua
Steven Wel well ni mchagga wa Kilema
Catherine Ruge ni mchagga wa Kishumundu

Acha kukimbilia siasa nyepesi.
Kwani Zitto Kabwe na Nondo ni Wapemba?

Ado Shaibu ni mpemba

Ulijibiwa sawa sawa na ulichoandika 😂
 
Kwani siasa ni nini?.Siasa ni kazi na maisha kama kazi zingine.Tukielewa hilo wala huwezi kubabaika vinginevyyo labdaa utuambie ni siasa gani ambayo watu hawanufaiki.
Siasa ni mtambuka

Chadema ni Wajasiliasiasa 🐼
 
Heche ni mchagga wa Marangu.
Weche ni mchagga wa Kibosho.
Sugu ni mchagga wa Rombo.
Lubaga Jackson ni mchagga wa Kirua
Steven Wel well ni mchagga wa Kilema
Catherine Ruge ni mchagga wa Kishumundu

Acha kukimbilia siasa nyepesi.
Wachaga chukueni time bana,ujasiriamali mpaka ujasiriasiasa
 
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini

Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama

Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂

Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi

21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla

Ahsanteni Sana 😂🔥
Huko si alifukuzwa? Nacho ni chama Cha wachaga
 
BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.

1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.

Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.

LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.

2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.

1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.

4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo

6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk

MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.

OKOENI TAIFA LENU LEO.

IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA NA SOMALIA KIUCHUMI.

MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini

Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama

Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂

Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi

21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla

Ahsanteni Sana 😂🔥

Kwa kweli dunia inaenda kasi.
Leo Mbowe ndio mtu wa kutumia mbinu za CCM za kujijenga kisiasa huku akilalamika eti Tundu Lisu anatumiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbowe ndio mtu wa kuungana na CCM kwa wazi na kumwita Tundu Lisu ni mropokaji 🤣🤣🤣Kisa Nyota ya Lisu inang'aa kwa sasa kuliko wanasiasa wote Tanzania.

Mbowe anasema kuwa kiongozi wa Chama ni mzigo lakini hataki kuutua . Huu si utapeli !!!
 
Mbowe ni tajiri kitambo kama ulikuwa hujui, hakuupata utajiri Chadema zaidi ya kukisaidia chama, bado ana mijengo ya maana Mikocheni, Machame, Dodoma, London hebu cheki huu mjeno wa Machame ambako wanafiki akina Msigwa na Heche, pamoja na Lema walimtembelea Novemba mwaka 2023, roho zikawauma hadi sasa wakamshawishi Lissu agombee uenyekiti. Wivu tuView attachment 3195880
Unawaita wanafiki kwasababu wanamuunga mkono Lissu kugombea uenyekiti ama vipi?
 
Kwa kweli dunia inaenda kasi.
Leo Mbowe ndio mtu wa kutumia mbinu za CCM za kujijenga kisiasa huku akilalamika eti Tundu Lisu anatumiwa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mbowe ndio mtu wa kuungana na CCM kwa wazi na kumwita Tundu Lisu ni mropokaji 🤣🤣🤣Kisa Nyota ya Lisu inang'aa kwa sasa kuliko wanasiasa wote Tanzania.

Mbowe anasema kuwa kiongozi wa Chama ni mzigo lakini hataki kuutua . Huu si utapeli !!!
😂😂😂😂 Kama mzigo unamuelemeaa autue tu
 
Kwa heshima yake mbowe ajitoe tu kwenye uchaguzi kulinda legacy yake
 
Mboye hana mpango na demokrasia ndani ya Chama..Tarehe 21 January inasubiriwa na wengi kwa hamu sana,hiyo Tarehe itakuwa mustakabali wa Chadema.
Kama think Tank ya Chadema ni mtu kama Yerico Nyerere basi Chama kina safari ndefu sana.
Mboye must go..
Ninamuunga mkono Lissu kugombea nafasi ya uenyekiti,namuunga mkono Author wa hii thread kwamba endapo Lissu akifanyiwa mambo kinyume na taratimu za uschaguzi wa Chama ni Bora aende NCCR..ana watu wengi nyuma yake..
 
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini

Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama

Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂

Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi

21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla

Ahsanteni Sana 😂🔥
Mboga mboga kina mmiliki kwani,anataka akizingua sana M.kiti kwa msaada wa mboga mboga atatiatimu kuiimarisha mboga mboga.
 
Back
Top Bottom