Chama cha Upinzani ambacho hakinaga mmiliki ni NCCR Mageuzi, kinafahamika Nchi mzima Tundu Lissu arejee kukiimarisha

FAM akiachia ataenda wapi? πŸ˜‚
Mchezo huko hivi,endapo Lissu atampiku Mboe na kuchukua chama kwa njia yoyote ile,Mbowe and sons watatupwa nje.Mapinduzi yatafanyika ,Chadema mpya itazaliwa.
Lakini kama Mbowe atashinda uchaguzi,Lissu team haitaondoka hawana sehemu ya kujibanza watabanana humo humo wakipanga next move.
 
Mbatia kesha sema NCCR haipokei maiti , unaongea nini Mromboo?
 
Lisu hataki democracy kabsa, ndo maana anatumia makundi yake kutaka mbowe asigombee Ili apite bila kupingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…