SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na ndivyo itakavyokuwana wafanye hivyo kwa mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo itakavyokuwana wafanye hivyo kwa mbowe
Mchezo huko hivi,endapo Lissu atampiku Mboe na kuchukua chama kwa njia yoyote ile,Mbowe and sons watatupwa nje.Mapinduzi yatafanyika ,Chadema mpya itazaliwa.FAM akiachia ataenda wapi? 😂
Mbatia kesha sema NCCR haipokei maiti , unaongea nini Mromboo?Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana 😂🔥
Lisu hataki democracy kabsa, ndo maana anatumia makundi yake kutaka mbowe asigombee Ili apite bila kupingwaKumbe wakati mwingine una akili sana.Ukweli mchungu Lissu akipata zaidi ya 20% akatoe sadaka Misikitini na Makanisani.
Lissu si Kiongozi ni mwanaharakati uchwara
Lissu hana ushawishi ndani ya CDM.
Lissu ni mropokaji mahiri
Lissu anajua atashindwa asubuhi lakini hana plan B.
Huko NCCR unakomshawishi hawataki sarakasi zake.
Akienda ACT watamyumia kwa muda mfupi sana halafu watamtimua hawawezi kufuga jini.Si hivyo tu kile chama ni Wapembe,Swala tano na ukanda wa Pwani.Lissu anatokea Singida kwa wala Punda utamaduni tofauti Pwani.