johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana 😂🔥