Chama cha Upinzani Namibia chapinga uteuzi wa Jaji Damaseb kuwa Mjumbe wa Tume ya Jaji Lila

Chama cha Upinzani Namibia chapinga uteuzi wa Jaji Damaseb kuwa Mjumbe wa Tume ya Jaji Lila

Nimepitia document na nitaipitia tena; kuna misamiati ifuatayo nimeipenda kutoka kwa Mwandishi Dr. SHIPULULO.

Amesema vyama hivi viwili yaani SWAPO na CCM ni "Liberation-era dinosaurs". Maana yake ni kwamba vyama hivi vya ukombozi kimsingi dhamira yake ilishakufa; yaani haipo. Dinosaurs walishapotea juu ya uso wa dunia. 😊

Pia amesema tume hii mpya ni "Afterthought" yaani imeundwa kwa minajiri ya kupitisha fikra au maazimio ambayo yameshafanyika. 😊

Amesema pia kitendo cha kuunda tume hii ni "whitewashing", kwa maana tume hii imeundwa kwa lengo la kutakatisha taswira na makosa ya utawala X X!

Ngoja niende nikaprint hii press release; niiweke kwenye shajala yangu. Kuna elimu kubwa sana ya kupigia mfano katika hii nyaraka.
Aiseee asante kwa hii samari, hadi inasisimua.

Heko heko wapinzani hawa wa Nchini Namibia.
 
Chama cha upinzani cha Namibia, Affirmative Repositioning (AR) kimepinga vikali uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus Tileinge Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi nchini Tanzania, kikisema hatua hiyo ni ya kisiasa na inaweza kuhatarisha uhuru wa mahakama ya Namibia.

Kwa mujibu wa Taarifa ya chama hicho iliyotolewa Agosti 6, 2026, uteuzi huo ulifuatia ombi la serikali ya Tanzania baada ya ziara ya hivi karibuni ya Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, nchini Tanzania, huku kikidai kuwa taratibu za kawaida za mahakama hazikufuatwa.

Katika taarifa hiyo pia imedai kuwa tume hiyo haina uhalali wa kutosha na ikaishutumu kwa kutumika kuisafisha serikali ya Tanzania dhidi ya tuhuma zinazohusiana na matukio yaliyotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.

Chama hicho pia kimesema kumteua Naibu Jaji Mkuu anayehudumu kwa sasa katika tume hiyo kunaweza kudhoofisha taswira na uaminifu wa mahakama ya Namibia kimataifa.

AR imetaka Tume ya Huduma za Mahakama ya Namibia (JSC) kutoa maelezo ya umma kuhusu msingi wa kisheria na kimaadili wa uteuzi huo, huku ikimtaka Jaji Damaseb kuukataa uteuzi huo.

Chama hicho pia kimeonya kuwa kinaweza kuchukua hatua za kisheria ikiwa uteuzi utaendelea. Aidha, AR imeeleza mshikamano wake na wanaharakati pamoja na makundi ya upinzani nchini Tanzania, ikisema itaendelea kushinikiza uwajibikaji na haki katika ukanda wa Kusini mwa Afrika.

---------

Ikumbukwe Leo Agosti 7, 2026 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati akizindua rasmi ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, aliweka wazi kuwepo kwa Wajumbe wawili wa Tume hiyo kutoka nchini Uganda na Namibia.

Soma Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha
UG na Namibia kweli? Tumefika huku?
 
Hivi wale wasafisha nyota(PR consulting) wa marekani wamechemka i.e. wameshindwa kusafisha PR ya bibi?
 
Wapinzani kule Namibia pia wanapitia mazito kutoka chama kongwe dola cha nchini Namibia cha SWAPO

NAMIBIA SIVYO UNAVYOIFIKIRIA KUHUSU DEMOKRASIA, WAPINZANI WANAPITIA WAKATI MGUMU

Sep 12 2025

Leader of the Affirmative Repositioning (AR) party, Associate Professor Job Shipululo Amupanda, has blamed the chaotic scenes in the National Assembly on what he calls “parliamentary incompetence and revenge tactics”.

View: https://m.youtube.com/watch?v=aan1DG1OFxY

Kiongozi wa chama cha Affirmative Repositioning (AR), Profesa Job Shipululo Amupanda, amelaumu matukio ya kutupwa kutoka ukumbi wa Bunge la Kitaifa kutokana na kile anachokiita "uzembe wa bunge na mbinu za kulipiza kisasi".

View: https://m.youtube.com/watch?v=MbTe9TUfuTo
 
UPINZANI NAMIBIA WATAKA MAGEUZI YA UENDESHAJI BUNGENI, WABUNGE WANABURUZWA SANA

12 Julai 2026
Windhoek, Namibia

PROFESA AMUPANDA ATOA HOJA YA JUKWAA LA USHAURI LA SIASA - nbc

View: https://m.youtube.com/watch?v=UoajecWGUQQ
Kiongozi wa chama cha Affirmative Reposition (AR) Profesa Job Shipululo Amupanda aliwasilisha hoja katika Bunge la Kitaifa ya kuanzisha Jukwaa la Ushauri wa Kisiasa na Kujenga Makubaliano kama chombo cha kisiasa kushughulikia masuala ambayo hayawezi kushughulikiwa ipasavyo na kamati au Mnadhimu Mkuu wa wabunge (chief whip).

Akiwasilisha hoja hiyo, Profesa Amupanda alisema kanuni ya makubaliano haipaswi kuzingatiwa kama udhaifu, kujisalimisha au kujipendekeza. Badala yake, inapaswa kuonyesha uelewa uliokomaa wa mazingira ya kisiasa na usawa wa nguvu, na kuwezesha matokeo chanya kupitia mazungumzo na ushirikiano.

Miundo ya sasa, alisema, kama vile mnadimu Mkuu wa wabunge, imethibitika kuwa haitoshi kushughulikia masuala muhimu ya kisiasa.

Aliongeza kuwa yalibuniwa hasa kwa ajili ya masuala yanayohusiana na utawala na programu, na maamuzi yao mara nyingi hupuuzwa au kupingwa. "Hakuna jukwaa maalum nje ya ukumbi wa bungecambapo Spika, Waziri Mkuu kama kiongozi wa shughuli za serikali, kiongozi wa Upinzani Rasmi na viongozi wote wa chama wanaweza kushiriki kwa pamoja katika masuala ya kisiasa ya bunge.

Spika amerudia wito wa jukwaa tofauti kujadili masuala ya kisiasa, na Rais, wakati wa hotuba ya Hali ya Taifa, alikubali hitaji la ushiriki nje ya ukumbi, akisema mazungumzo na mwenendo havifanyiki ndani ya ukumbi. Hilo si jibu. Katika utofauti wao, sauti hiyo ya kumnukuu rais haikubaliani na kauli muhimu.

Katika utofauti wao, wabunge wameonyesha kukubaliana kwao na hali ya mambo ya Bunge na hitaji la wakala la utaratibu wa kutatua mzozo huu wa kisiasa." Hoja hiyo inapendekeza kwamba jukwaa hilo lijumuishe Spika wa Bunge, Waziri Mkuu kama Kiongozi wa Shughuli za Serikali, Kiongozi wa Upinzani Rasmi na viongozi wa vyama vyote vya siasa vinavyowakilishwa katika Bunge. Amupanda alihimiza bunge kushughulikia hoja hiyo kwa uharaka unaohitajika

PROF. AMUPANDA TABLES MOTION FOR POLITICAL CONSULTATION FORUM - nbc
Jul 12026
Affirmative Repositioning (AR) party leader Professor Job Amupanda tabled a motion in the National Assembly to establish a Political Consultation and Consensus-Building Forum as a political body to deal with matters that cannot adequately be handled by committees or the Chief Whips' Forum.Tabling the motion, Professor Amupanda said the principle of consensus should not be viewed as weakness, surrender or capitulation. Rather, it should reflect a mature understanding of the political landscape and the balance of forces, enabling positive outcomes through negotiation and cooperation.The current structures, he said, such as the Chief Whips' Forum, have proven inadequate for addressing key political matters.He added that they were designed primarily for administrative and programme-related issues, and their decisions are often ignored or contested."There is no dedicated platform outside the chamber where the Speaker, the Prime Minister as a leader of government business, the leader of the Official Opposition and all party leaders can collectively engage on the overarching political affairs of the assembly. The Speaker has repeatedly called for a different forum to discuss political matters, and the President, during the State of the Nation address, acknowledged the need for engagement outside the chamber, stating negotiation and conduct are not conducted in the chamber. That is not an answer. In their variety, that tone in quoting the president is not accepting the important statement. In their variety, members of Parliament have; members of Parliament express grave consent with the state of affairs of the National Assembly and the agent's need for a mechanism to resolve this political impasse."The motion proposes that the forum comprise the Speaker of the National Assembly, the Prime Minister as Leader of Government Business, the Leader of the Official Opposition and the leaders of all political parties represented in the National Assembly.Amupanda urged the house to treat the motion with the urgency required
 
08 Julai 2026
Windhoek, Namibia

UPINZANI NAMIBIA UMEKATAA KUBURUZWA, YAKATAA UTEUZI WA BW. SINDANO KUWA MWENYEKITI TUME YA UCHAGUZI NAMIBIA ECN

08 July 2026
OPPOSITION REJECTS SINDANO APPOINTMENT - nbc

View: https://m.youtube.com/watch?v=GZgKXDBDzzA
The opposition members in the National Assembly have maintained their objection to the appointment of Gerson Sindano as Chairperson of the Electoral Commission of Namibia (ECN).

Members argued that the appointment should not be approved until all legal and procedural concerns have been fully addressed.They further added that the same commission on which the nominee served failed to provide a credible explanation for why it did not fulfil its constitutional mandate.

LPM MP Eneas Emvula said, "The concern is that the process does not comply with the Constitution and the Electoral Act, including the appointment procedure undertaken by the President in terms of the tenure requirement and the transparency of the selection process.

They are aforementioned as precisely the kind of issues Parliament exists to interrogate, not simply endorse or to endorse. Hon. Speaker, we have seen other high-profile appointments, including the ACC, proceed with very little public scrutiny, creating a perception that the recommendations originating from the State House are increasingly treated as decisions to be ratified rather than tested."

Abednego Hishoono, IPC MP, highlighted that a contested nomination without demanding a clear legal justification sets an undesirable precedent. It suggests that procedural questions can be ignored whenever there is political support for a nominee.

Constitutional governance requires Parliament to uphold both their letter and their spirit of law. For these reasons, this House, I advise you, all of us, should not approve the nomination.""By all public accounts, he possesses impressive academic credentials and has served this country in various capacities.

However, the Honourable Speaker, the Electoral Commission is unlike any other ordinary public institution. It is therefore a protector of our democracy. That is why Article 94(b) of our Constitution places such an importance on the Commission's independence. Having said so, the Honourable Speaker, each independence must not only exist in laws, but it must also be visible in practice and convincing the Namibian people," added Vilho Ihemba, IPC MP.

Swapo Party MP, Austin Samupwa, on the other hand, argued that the debate had become overly personalised with members focusing on the individual nominated by the president. He urged MPs not to dwell on identities and to proceed with the appointment."

From what we know as Namibians, we have seen that this is one of the processes that was above board, because these commissioners were being interviewed in the public eye, everybody of us saw this. You can go and review it if you so wish.

Our problem when we talk about these issues is we go from the process, and then we focus on individuals. And I don't think that is the way we should be debating these things because we are now personalising issues with the names that were handed by the president to the national assembly
 
Nimepitia document na nitaipitia tena; kuna misamiati ifuatayo nimeipenda kutoka kwa Mwandishi Dr. SHIPULULO.

Amesema vyama hivi viwili yaani SWAPO na CCM ni "Liberation-era dinosaurs". Maana yake ni kwamba vyama hivi vya ukombozi kimsingi dhamira yake ilishakufa; yaani haipo. Dinosaurs walishapotea juu ya uso wa dunia. 😊

Pia amesema tume hii mpya ni "Afterthought" yaani imeundwa kwa minajiri ya kupitisha fikra au maazimio ambayo yameshafikiwa. Ni tume inaundwa ili kupewa maazimio "consensus". Na hii ni utaona hakuna hadidu za rejea "Terms of Reference (ToR), ila ni huyo mama kusema wakatafute flani na flani. Tayari huyo mama ameshakuwa na "findings" sasa anataka kuonyesha kuwa hana na ajazitengeza yeye hizo "findings" 😊

Amesema pia kitendo cha kuunda tume hii ni "whitewash", kwa maana tume hii imeundwa kwa lengo la kutakatisha taswira na madoa ya utawala wa huyo mama!

Ngoja niende nikaprint hii "press release"; niiweke kwenye shajala yangu. Kuna elimu kubwa sana ya kupigia mfano katika hii nyaraka.
Ngoja nitulie nami niipitie vizuri
 
Tunashukuru, hatuna la kuongezea. Hatutaki matatizo
 
Back
Top Bottom