Chama cha Upinzani Namibia chapinga uteuzi wa Jaji Damaseb kuwa Mjumbe wa Tume ya Jaji Lila

Na Quote....

"The recently released report from this same Commission, which shamelessly labels
peaceful young protestors as "violent rioters," protects state security forces who
massacred over 518 citizens, and dismisses documented evidence of mass graves as
"AI disinformation," is an insult to the continent and to every Namibian who values
justice."
 
Tunapigwa mbele na nyuma
 
SISI WENYE NGOMA YETU TUNASUBIRI NINI KUANDIKA POPOTE DUNIANI? HALAFU UTASIKIA KUNA WASOMI BONGO 😭😭😭😭
 
Yani bado tunatawalana kizamaniiiii

There is no way Rais wa Japan akaenda France au wa Ukraine akaenda Marekani halafu baada ya wiki mbili ndio mje kugundua kuna uamuzi au kuna maombi au agenda ilizungumzwa hamkuambiwa wakati wa ziara.

Siku ile ile Rais mgeni akitoka kwenye mazungumzo anarukiwa na waandiahi wa nyumbani wa kwenye msafara wanamuuloza eeenhe., umekuja hapa kufanya nini, mlizungumza nini, umeuza nini, imeahidi nini, umepewa nini. Na wewe umegawa nini cha kwetu ????

Primitive states na banana republic zetu hizi wananchi wako gizani na waandishi wabovu, tunaambiwa ALIKUJA KUIMARISHA MAHUSIANO BAINA YETU
.

KUMBE KAOMBA MAJAJI
 
Wanataka uchunguzi kutoka nje waje FBI hapa na matokeo yawe wazi sio wanateua watu wao..
 
muovu anakataliwa afrika nzima na dunia nzima. kila tawi agusalo linakatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…