Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

Njaa tu ndiyo zinawasumbua. Hamna lolote. Mnaacha kujikita kwenye masuala ya msingi yahusuyo nchi; badala yake mnapigania vitu vya kipuuzi!

Na usikute mnamchukia hiyo DC wenu kwa sababu tu ni mgumu kwenye kutoa bahasha za khaki. Hovyo kabisa.
 
Hana makuu lakini ni arrogant,hapo sijaelewa kabisa
 
Huyo simalenga mbona anapenda sana kiki ni DC au actress?
 
Reactions: EEX
Haya mavyeo ya DC na RC bure kabisa.Kazi kupanua matako tu.
 
Halafu hawa waandishi au vishoka wa siku hizi ni ajabu sana hapa sengerema walipewa nyama wakaanza kuruka hewani
 
huyu kijana ni miongoni mwa walevi wa kutupwa wa madaraka. Alipo amelewa chakari.

Na actually alisha onywa kuepuka majivuno, dharau, ubabe na sifa za kijinga awapo kwenye majukumu yake ya kazi za wananchi 🐒

Dhamana aliyopewa kwa niaba ya wananchi isigeuke anasa kwa wananchi, asasa za kiraia, makundi maalum, vyama vya wafanyakazi n.k
Ajifunze kwa vijana waliomtangulia wameishia wap 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…