Nashauri mngejuana ni wangapi mliopo tayari muwe na mikakati na malengo ya pamoja,
then mtengeneze kitu kama kikundi,
mtembeleane pia na kubadilishana uzoefu na baada ya hapo mjipanue zaidi na kutafuta masoko ya bidhaa zitokanazo na kuku iwe ndani na nje ya Tanzania,
kila la kheri
kuku mmoja na mtu anajiita mfugaji ?
kuku mmoja na mtu anajiita mfugaji ?
kuku mmoja na mtu anajiita mfugaji ?