Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,292
- 1,867
Habari za mchana.
Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen.
Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma hamkemei mnajaza matumbo yenu kwa michango ya wanachama laana iwe juu yenu.
Pesa za uhamisho walimu hawalipwi kwa wakati na zikilipwa ni kwa ubaguzi laana iwe juu yenu wote.
Pesa za uhamisho za walimu wanapewa ajira mpya kama posho za kujikimu cwt hamkemei mnangojea kipindi cha uchaguzi mnajifanya mnatetea walimu laana iwe juu yenu ameen.