Chama cha walimu Kilindi laana ya dua mbaya iwe juu yenu

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,292
Reaction score
1,867
Habari za mchana.

Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen.

Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma hamkemei mnajaza matumbo yenu kwa michango ya wanachama laana iwe juu yenu.

Pesa za uhamisho walimu hawalipwi kwa wakati na zikilipwa ni kwa ubaguzi laana iwe juu yenu wote.

Pesa za uhamisho za walimu wanapewa ajira mpya kama posho za kujikimu cwt hamkemei mnangojea kipindi cha uchaguzi mnajifanya mnatetea walimu laana iwe juu yenu ameen.
 
Yan kila nikiskia lawama na mazonge ya walimu namkumbuka mwanangu Mpwayungu Village amewakana sana msisomee uwalimu hamkusikia,kwamba kuliko mwanao awe mwalimu bora umnunulie vitalu alime mchicha,mkamuona snitch na akawa anakula BAN kila uchao leo amekua afsa elimu kata nyie mnalalamika humu
 
ualimu ni wito gentleman πŸ’
 
Huko Tanga si ndio kuna wachawi wengi mahiri na mashehe wenye ujuzi wa albadiri.
Waendee huko wakazibwe njia za haja kubwa kwa mwezi mmoja tu, mbona hela zenu zote mtapewa
 
Walimu bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, wale wa kahama walionunua basi used kwa bei mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…