Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

Chief Wingia

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
2,653
Reaction score
4,744
Habari zenu wakuu,

Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
 
Paper kama hiyo ingewafaa zaidi wanaotaka kuwa waalimu law school.

Napendekeza zaidi paper ya namna hiyo kwa wanasiasa hasa wanaotaka kuingia bungeni, uwaziri, urais na wenye kuhitaji nafasi zozote za kisiasa.

Hapo ndipo utajua mkuki ni Kwa nguruwe tu.
 
Habari zenu wakuu

Walimu wa diproma certificate, wanamitihani ya kupata vyeti, ukifeli chet huna, kazi utaomba wapi?
 
Naunga mkono hoja maan hii kada imezidi kuwa na malalamiko mengi
 
Hii ilipaswa iwe kwa kada zote.
Kwanza inapaswa ili mtu apate kazi yoyote ya kitaaluma lazima awe na degree
Allafu ukiwa na degree Yako, iwe lazima ufanye mtihani wa kupata cheti ya kazi (leseni) mbali na cheti cha elimu

Alafu kila baada ya miaka mitano, mtu afanye tena mtihani ku-renew leseni yake

Tungekuwa na watu Bora sana kwenye Kila kada.

Kusiwe mwanasiasa ngazi yoyote ambaye hana degree. Km ambavyo hata sasa drs la 7 n mbunge, na drs la 7 huyohiyo ni m/kiti wa mtaa,,,, bas iwe hivyohivyo kwa degree

Kusiwe kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye hana degree kwa ngazi zote kuanzia mitaa had diwani.

Alafu kusiwe mbunge asiye na Masters.. na iwekwe sheria Kila mbunge hatazidisha miaka 15 bungeni. Yaani ukipita misimu mi3 bas unastaafu na hutagusa nafasi yoyote ya kisiasa isipokuwa urais

Itakuwa poa sana
 
Wazo zuri sana kuwe na academic certificate na license certificate
 
Sijakataa ila ninacho maanisha mimi mbali na hizo academic certificate kuwe na paper za kupata teaching license
Walimu wa diproma certificate, wanamitihani ya kupata vyeti, ukifeli chet huna, kazi utaomba wapi?
 
Paper kama hiyo ingewafaa zaidi wanaotaka kuwa waalimu law school.

Napendekeza zaidi paper ya namna hiyo kwa wanasiasa hasa wanaotaka kuingia bungeni, uwaziri, urais na wenye kuhitaji nafasi zozote za kisiasa.

Hapo ndipo utajua mkuki ni Kwa nguruwe tu.
Ni kweli kabisa ili paswa iwe hivyo
 
Paper kama hiyo ingewafaa zaidi wanaotaka kuwa waalimu law school.

Napendekeza zaidi paper ya namna hiyo kwa wanasiasa hasa wanaotaka kuingia bungeni, uwaziri, urais na wenye kuhitaji nafasi zozote za kisiasa.

Hapo ndipo utajua mkuki ni Kwa nguruwe tu.
Wenye pesa wata linunua pepa....😆🤓😆😊😀
Alaf watalewa wenye akili wali solve ni mwendo wa ku memories majawabu....🤣🤣🤣😂😂😂😂

Hii Dunia HAIJAWAI kua fair NDIO maana MWANANGU anaozea segerea........

Binadamu hajawai KUSHINDWA kitu Mupe muruke....Mupe Muruke.....Mupe Muruke.....
 
Fairness ni kupitia nguvu ya umma tu
 
Hii ilipaswa iwe kwa kada zote.
Kwanza inapaswa ili mtu apate kazi yoyote ya kitaaluma lazima awe na degree
Allafu ukiwa na degree Yako, iwe lazima ufanye mtihani wa kupata cheti ya kazi (leseni) mbali na cheti cha elimu

Alafu kila baada ya miaka mitano, mtu afanye tena mtihani ku-renew leseni yake

Tungekuwa na watu Bora sana kwenye Kila kada.

Kusiwe mwanasiasa ngazi yoyote ambaye hana degree. Km ambavyo hata sasa drs la 7 n mbunge, na drs la 7 huyohiyo ni m/kiti wa mtaa,,,, bas iwe hivyohivyo kwa degree

Kusiwe kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye hana degree kwa ngazi zote kuanzia mitaa had diwani.

Alafu kusiwe mbunge asiye na Masters.. na iwekwe sheria Kila mbunge hatazidisha miaka 15 bungeni. Yaani ukipita misimu mi3 bas unastaafu na hutagusa nafasi yoyote ya kisiasa isipokuwa urais

Itakuwa poa sana
Hakuna watendaji Wazuri kama diploma holders Kwa kada yoyote Ile unayoijua degree ni taka taka!! Unaweza kuwa na degree bila kusoma ila huwezi kuwa na diploma bila kusoma!!!
 
Habari zenu wakuu
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Walimu wa degree watafeli wote
 
Hakuna watendaji Wazuri kama diploma holders Kwa kada yoyote Ile unayoijua degree ni taka taka!! Unaweza kuwa na degree bila kusoma ila huwezi kuwa na diploma bila kusoma!!!
Tunaongelea mambo ya kitaaluma, sio mambo ya honorable mzee!!
Alafu hiyo you so call takataka ndiyo inayozalisha hizo dip unazosema ni bora.

Sasa sijui ni kwa namna gani ubora wa dip unapatikana wakati mwalimu wake ni takataka[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom