Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

Chama cha Walimu Tanzania (CWT) waweke paper ya mchujo kama ya Law School ili mtu awe certified na kupata usajili

Habari zenu wakuu
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Pia nikukumbushe mwalimu sio G.P.A Mwalimu ni content....

Mwalimu wa serikalini Hana interview......

MWALIMU SIO G.P.A NI CONTENT....
 
Very true na ukijitutumua wanaku neutralize as individual....
Mkijitutumua wengi hawana namna. Kwani kuwaacha inasaidia kitu gani. Heri kuwa neutralized mkipambana kuliko kuwa neutralized kibudu.
 
CCM wanataka wajinga waendelee kuwepo iliwaendelee kuiba wao na watoto wao
 
WCT hao kazi yao kukusanya makato ya walimu na kuenda bar kutandikia barimi tu alafu waanzishe mtiani wa kupunguza watu watakaowapa mapato kweli itawezekana ?😂
 
Back
Top Bottom