Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Walimu wa diproma certificate, wanamitihani ya kupata vyeti, ukifeli chet huna, kazi utaomba wapi?Habari zenu wakuu
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Naunga mkono hoja maan hii kada imezidi kuwa na malalamiko mengiHabari zenu wakuu
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Wazo zuri sana kuwe na academic certificate na license certificateHii ilipaswa iwe kwa kada zote.
Kwanza inapaswa ili mtu apate kazi yoyote ya kitaaluma lazima awe na degree
Allafu ukiwa na degree Yako, iwe lazima ufanye mtihani wa kupata cheti ya kazi (leseni) mbali na cheti cha elimu
Alafu kila baada ya miaka mitano, mtu afanye tena mtihani ku-renew leseni yake
Tungekuwa na watu Bora sana kwenye Kila kada.
Kusiwe mwanasiasa ngazi yoyote ambaye hana degree. Km ambavyo hata sasa drs la 7 n mbunge, na drs la 7 huyohiyo ni m/kiti wa mtaa,,,, bas iwe hivyohivyo kwa degree
Kusiwe kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye hana degree kwa ngazi zote kuanzia mitaa had diwani.
Alafu kusiwe mbunge asiye na Masters.. na iwekwe sheria Kila mbunge hatazidisha miaka 15 bungeni. Yaani ukipita misimu mi3 bas unastaafu na hutagusa nafasi yoyote ya kisiasa isipokuwa urais
Itakuwa poa sana
Ndio mkuu
Walimu wa diproma certificate, wanamitihani ya kupata vyeti, ukifeli chet huna, kazi utaomba wapi?
Ni kweli kabisa ili paswa iwe hivyoPaper kama hiyo ingewafaa zaidi wanaotaka kuwa waalimu law school.
Napendekeza zaidi paper ya namna hiyo kwa wanasiasa hasa wanaotaka kuingia bungeni, uwaziri, urais na wenye kuhitaji nafasi zozote za kisiasa.
Hapo ndipo utajua mkuki ni Kwa nguruwe tu.
Interview yaaniSijakataa ila ninacho maanisha mimi mbali na hizo academic certificate kuwe na paper za kupata teaching license
Wenye pesa wata linunua pepa....ππ€πππPaper kama hiyo ingewafaa zaidi wanaotaka kuwa waalimu law school.
Napendekeza zaidi paper ya namna hiyo kwa wanasiasa hasa wanaotaka kuingia bungeni, uwaziri, urais na wenye kuhitaji nafasi zozote za kisiasa.
Hapo ndipo utajua mkuki ni Kwa nguruwe tu.
Wenye pesa wata linunua pepa....ππ€πππ
Alaf watalewa wenye akili wali solve ni mwendo wa ku memories majawabu....π€£π€£π€£ππππ
Hii Dunia HAIJAWAI kua fair NDIO maana MWANANGU anaozea segerea........
Binadamu hajawai KUSHINDWA kitu Mupe muruke....Mupe Muruke.....Mupe Muruke.....
Hakuna watendaji Wazuri kama diploma holders Kwa kada yoyote Ile unayoijua degree ni taka taka!! Unaweza kuwa na degree bila kusoma ila huwezi kuwa na diploma bila kusoma!!!Hii ilipaswa iwe kwa kada zote.
Kwanza inapaswa ili mtu apate kazi yoyote ya kitaaluma lazima awe na degree
Allafu ukiwa na degree Yako, iwe lazima ufanye mtihani wa kupata cheti ya kazi (leseni) mbali na cheti cha elimu
Alafu kila baada ya miaka mitano, mtu afanye tena mtihani ku-renew leseni yake
Tungekuwa na watu Bora sana kwenye Kila kada.
Kusiwe mwanasiasa ngazi yoyote ambaye hana degree. Km ambavyo hata sasa drs la 7 n mbunge, na drs la 7 huyohiyo ni m/kiti wa mtaa,,,, bas iwe hivyohivyo kwa degree
Kusiwe kiongozi yeyote wa kisiasa ambaye hana degree kwa ngazi zote kuanzia mitaa had diwani.
Alafu kusiwe mbunge asiye na Masters.. na iwekwe sheria Kila mbunge hatazidisha miaka 15 bungeni. Yaani ukipita misimu mi3 bas unastaafu na hutagusa nafasi yoyote ya kisiasa isipokuwa urais
Itakuwa poa sana
Walimu wa degree watafeli woteHabari zenu wakuu
Hivi kwa jitihada za kuboresha elimu yetu hapa nchini kwanini chama cha walimu nchini wasiweke paper ya mchujo kama ya law school ili kila mwalim fresh from college ni lazma afanye paper hiyo ili aweze kuwa certified na kupata usajili kwajili ya kufundisha watoto wetu.
Una malezi ya upande mmoja sio kosa lakoWalimu watatembeza nyuchi wapewe possible
Wewe una diploma ndugu?Hakuna watendaji Wazuri kama diploma holders Kwa kada yoyote Ile unayoijua degree ni taka taka!! Unaweza kuwa na degree bila kusoma ila huwezi kuwa na diploma bila kusoma!!!
Tunaongelea mambo ya kitaaluma, sio mambo ya honorable mzee!!Hakuna watendaji Wazuri kama diploma holders Kwa kada yoyote Ile unayoijua degree ni taka taka!! Unaweza kuwa na degree bila kusoma ila huwezi kuwa na diploma bila kusoma!!!