Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 879
- 491
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya. Jopo hilo litaongozwa na wanasheria wanne na mahakama zote kuu za Bara na Visiwani zitausika baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.
Bila shaka itasaidia kuwaamsha CCM kuwa kumbe wao sio miungu wa Tanzania yetu
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya. Jopo hilo litaongozwa na wanasheria wanne na mahakama zote kuu za Bara na Visiwani zitausika baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.
umejua lakini kinachoenda kufanywa au hujui hata kusoma na kuchambua maandishi.
Bora hawa TLS kuliko wanaotoa matamko kila siku.
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya. Jopo hilo litaongozwa na wanasheria wanne na mahakama zote kuu za Bara na Visiwani zitausika baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.
umejua lakini kinachoenda kufanywa au hujui hata kusoma na kuchambua maandishi.
UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!Hili ndilo lilitakiwa lifanywe na UKAWA toka mwanzo.Tumeshauri wee hawasikii.UKAWA ni wanasiasa Uchwara.
Utasikia baadhi yao wanaropoka hata majukwaani kuwa fulani ni fisadi na tunao ushahidi. Ukiwaambia mburuzeni mahakamani basi huyo fisadi wenu ambaye mnao ushahidi hawaendi. Ukiwaambia basi kama hamuendi sasa hivi kuna kesi ya fisadi fulani mnayemtaja kwenye mikutano yenu ya hadhara nendeni basi mkawe mashahidi kwenye hiyo kesi unakuta wanakataa.UKAWA kisiasa bure kabisa.
Hongereni chama cha wanasheria kwa kuamua kufanya hilo.