Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kwenda mahakamani kesho

Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kwenda mahakamani kesho

UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!

One of the worst moderators that once JF had.

so pathetic, ulinipiga ban sababu ya LUSIFA ambaye kabaki kuwa mbunge wa mahakama

poor Buchanan
 
Last edited by a moderator:
waende tu, lakini hata wazee wa baraza mahakama ya mwanzo wataona sheria inaruhusu bmk hata kuitupilia mbali rasimu ya warioba wakikubaliana haifai.
 
Nabado CCM mtakoma mpaka pesa zetu mzirudishe
Sio mnakula na kuvimba matumbo yenu kama vyura.
 
Itakuwa kesi ya kusisimua sana bila shaka...wajumbe wa Tume itabidi waitwe kutoa ufafanuzi.
 
UKAWA ni kikundi haramu, lakini siku chache zilizopita uliposikia Bunge la Posho linajadili mahakama ya kadhi, ukaja hapa mbio ili kukitaka hicho "kikundi haramu" kipinge BMP kujadili mahakama ya kadhi kwa kuwa swala la mahakama hiyo halimo kwenye rasimu ya Tume ya Warioba. Una tatizo kubwa la kutojitambua ndio sababu huna msimamo unaoeleweka.

UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!
 
Watashinda na ndio faida ya kuwa na wanasheria kwenye nchi.Sb hii nchi inaongozwa kwa sheria na mchakato huo ni wakisheria na yote yanabebwa na takwa la wananchi so wananchi watashinda.Hivyo maoni yao yaliowekwa na kuweka misingi ya mikuu ktk rasimu yatalindwa na sheria.so Tume iliundwa na sheria na maoni yakakusanywa na kile chombo kilichopewa dhamana sasa akina sita eti nao wanakusanya maoni dodoma!huu ni ujinga na kudharu sheria.
 
nawaunga mkono maana tukiwaachia ccm watatutungia katiba ya hovyo na hata wajukuu wetu wakija kulinganisha katiba ya mwaka 1977 na ya mwaka 2014 ya 1977 itakuwa na mashiko .mifano mizuri angalieni sheria wanazotunga siku mbili wanakuwa wakwanza kuikataa bg up wanasheria ila na shaka na elimu ya hawa wabunge wa sisiemu wanaotutungia sheria
 
Naona mmesahau kuwa aliyewateua hao majaji huko mahakamani ni mwenyekiti wa ccm

hata Jaji warioba uliteuliwa kuwa jaji na raisi na pia amekuwa mwenyeketi wa tume husika kwa kuteuliwa na rais na kazi yake umeiona.
pia hao majaji wote wamepata kuwa member wa Tanganyika Law Society since day one.
 
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya. Jopo hilo litaongozwa na wanasheria wanne na mahakama zote kuu za Bara na Visiwani zitausika baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.

Ni wanasheria waliokosa kazi kuna mambo kadhaa ya kuhangaikia kama rushwa mahakani dhuluma kwa wananchi kutoka kwa wenye mamlka haya hawayaoni bali bunge la katiba wametumwa na nani?
 
Pigo hasa la Uhakika kwa UKAWA.UKAWA walikuwa hawataki kwenda mahakamani ili waendelee kulaghai wananchi mitaani ambao ni mbumbumbu wa sheria.Sasa watajua vizuri sheria ni nini na tafsiri ya mwanasheria nini na jaji ni nani.Watapata nafasi kupitia kesi hii kujua kuwa sheria si siasa na uanasheria si UKAWA ni fani ya watu wenye hadhi zao na wajuao sheria ni nini.

Njia ya mwanasiasa mwongo na laghai siku zote ni fupi.Kesi hii ndio itaweka wazi kuwa ulaghai wa kisiasa hauna nafasi katika nchi.Ni kesi nzuri ya kihistoria itakayokomesha vidomo domo vya utapeli na ulaghai katika siasa hasa katika suala zito kama hili la kujua jukumu la bunge la katiba ni nini.
 
itakuwaje wakipangiwa jaji Elieza Feleshi.
 
Hapo jaji mccm ndo itakuwa kazi yake kufafanua vifungu kiccm. Chezea maccm wewe?
 
Back
Top Bottom