Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kwenda mahakamani kesho

Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS) kwenda mahakamani kesho

Hayo ndo maneno. Kila jambo lina wakati wake, katiba tuitakayo ni ya serikali tatu.
 
Mahakama ni chombo kizuri na maamuzi yake ni ya haki. Hata ivyo inategemea ni jaji yupi na maadili yake yakoje. Tumeshuhudia kesi nyingi zikiingiliwa na maamuzi ya kisiasa na ivyo kufanya baadhi ya kesi kukosa mwelekeo.

Tunaomba kesi irushwe live for bublic inenterest (tuamue wenyewe hata jaji akipindisha).
 
Serikali mbili ni sera ya CCM. Wananchi wanataka serikali tatu.

Kama 2 ni sera ya ccm si waziandike kwenye katiba yao ya chama! Katiba ya nchi haipaswi kuwa ya chama chochote cha siasa.serikali 3 ni maamuzi ya watanzania wenyewe na yaheshimiwe.
 
Hili ndilo lilitakiwa lifanywe na UKAWA toka mwanzo.Tumeshauri wee hawasikii.UKAWA ni wanasiasa Uchwara.

Utasikia baadhi yao wanaropoka hata majukwaani kuwa fulani ni fisadi na tunao ushahidi. Ukiwaambia mburuzeni mahakamani basi huyo fisadi wenu ambaye mnao ushahidi hawaendi. Ukiwaambia basi kama hamuendi sasa hivi kuna kesi ya fisadi fulani mnayemtaja kwenye mikutano yenu ya hadhara nendeni basi mkawe mashahidi kwenye hiyo kesi unakuta wanakataa.UKAWA kisiasa bure kabisa.

Hongereni chama cha wanasheria kwa kuamua kufanya hilo.

Sasa ni wanasiasa gani Tanzania si bure?
 
Sasa ni wanasiasa gani Tanzania si bure?

HUYO EAST AFRICA NAYE HANA HOJA YA MAANA HILI TAIFA NILA WOTE SIO UKAWA WALA SSM KAMA HOJA YA UIZI UITAKIWA WEWE,MIM NA YULE TUCHUKUE HATUA SIO ETI UKAWA WAKUFUMBUE HALAF PIA WAKASHITAK WAO,KAMA NINAKUTOA UJINGA HALAF HUTAK NAKUACHA UJINGA WAKO UKUUE.HIV KULE BoT,EPA na chenchi ya rada walivyovisemea upinzan wao ndo walioshitaki?.hebu jiandae sio unakuja kujaribu vichwa vya watu.
 
Maccm yaliamua kufanya uhuni wao ili kuvuruga upatikanaji wa Katiba Mpya.

Werema ameshapata tumbo la kuharisha mpaka sasa.
prudent men on land wameona waingilie kati huu unajisi wa katiba mpya unaofanywa na JK na CCM kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom