UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!
wanakwenda kutafuta tafsiri ya nini kijadiliwe au kama kuna uwezekano wa kusitisha bunge?
Hata hawa TLS wanakwenda kugonga mwamba.
Werema ameshapata tumbo la kuharisha mpaka sasa.
prudent men on land wameona waingilie kati huu unajisi wa katiba mpya unaofanywa na JK na CCM kwa ujumla.
UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!
Itakuwa kesi ya kusisimua sana bila shaka...wajumbe wa Tume itabidi waitwe kutoa ufafanuzi.
Naona mmesahau kuwa aliyewateua hao majaji huko mahakamani ni mwenyekiti wa ccm
Umelewa tume.Tume hawawezi itwa kutoa tafsiri.Sababu sheria imetungwa na bunge sio na tume.
Chama Cha Wanasheria Tanganyika kimetangaza kwenda mahakamani kesho ili kutafuta uwezekano wa kutafasiri sheria juu ya nini kinatakiwa kujadiliwa na bunge maalumu katika mchakato wa katiba mpya. Jopo hilo litaongozwa na wanasheria wanne na mahakama zote kuu za Bara na Visiwani zitausika baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.