Nicolas J Clinton Gabone
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 879
- 491
- Thread starter
-
- #41
Hapo jaji mccm ndo itakuwa kazi yake kufafanua vifungu kiccm. Chezea maccm wewe?
UKAWA wanajijua ni kikundi haramu ndio maana hawajatia mguu mahakamani, wangeaibika vibaya!
Kwani ni uwongo?UKAWA ni haramu kama gongoMakupa a cha upumbavu usiropoke mkuu
waende tu, lakini hata wazee wa baraza mahakama ya mwanzo wataona sheria inaruhusu bmk hata kuitupilia mbali rasimu ya warioba wakikubaliana haifai.
Kwani ni uwongo?UKAWA ni haramu kama gongoMakupa a cha upumbavu usiropoke mkuu
Hayo ndo maneno. Kila jambo lina wakati wake, katiba tuitakayo ni ya serikali tatu.
Serikali mbili ni sera ya CCM. Wananchi wanataka serikali tatu.
Hili ndilo lilitakiwa lifanywe na UKAWA toka mwanzo.Tumeshauri wee hawasikii.UKAWA ni wanasiasa Uchwara.
Utasikia baadhi yao wanaropoka hata majukwaani kuwa fulani ni fisadi na tunao ushahidi. Ukiwaambia mburuzeni mahakamani basi huyo fisadi wenu ambaye mnao ushahidi hawaendi. Ukiwaambia basi kama hamuendi sasa hivi kuna kesi ya fisadi fulani mnayemtaja kwenye mikutano yenu ya hadhara nendeni basi mkawe mashahidi kwenye hiyo kesi unakuta wanakataa.UKAWA kisiasa bure kabisa.
Hongereni chama cha wanasheria kwa kuamua kufanya hilo.
Sasa ni wanasiasa gani Tanzania si bure?
Umelewa tume.Tume hawawezi itwa kutoa tafsiri.Sababu sheria imetungwa na bunge sio na tume.
Werema ameshapata tumbo la kuharisha mpaka sasa.
prudent men on land wameona waingilie kati huu unajisi wa katiba mpya unaofanywa na JK na CCM kwa ujumla.