mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah....mie niliambiwa niambatanishe bunduki 3 za kivita na mabomu 7 ya mkono....ndiyo nisikilizwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaani umpe baba mkwe bunduki ili ukimliza mtoto wake akubomoe vizuri sio...Nehi![emoji23][emoji23][emoji23]
mshana mlimkamua kiasi ganiKhaaaaaaa
Mwambie atakupa jibumshana mlimkamua kiasi gani
Dah....mie niliambiwa niambatanishe bunduki 3 za kivita na mabomu 7 ya mkono....ndiyo nisikilizwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
apo aliposema tu Khaaa...katuvuruga waoaji
Sasa kama cha watu wasio oa mnalaani nini wakati nyie hamuoi...?? Ngoja sisi ambao hatujaoa tutaoa tamko letu hivi Karibuni..!Chama cha vijana wasiooa Tanzania View attachment 780432
Sasa kama cha watu wasio oa mnalaani nini wakati nyie hamuoi...?? Ngoja sisi ambao hatujaoa tutaoa tamko letu hivi Karibuni..!
Sent using Jamii Forums mobile app