Chama cha wasiooa cha laani ongezeko la Posa kinyemela

Chama cha wasiooa cha laani ongezeko la Posa kinyemela

Kwa mahari tulishatengeneza formula na huku ipo ngoja tukae kikao kijacho tutengeneze ya posa maana tunapeleka posa wanakula na mke hatupewi Demiss
 
yaani umpe baba mkwe bunduki ili ukimliza mtoto wake akubomoe vizuri sio...Nehi![emoji23][emoji23][emoji23]
Dah....mie niliambiwa niambatanishe bunduki 3 za kivita na mabomu 7 ya mkono....ndiyo nisikilizwe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom