Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kapigwa kafanya nini wabalance story 😅Sasa kulaani tu ndo imeisha? Muuguzi aliyepigwa naomba akashtaki mahakamani kama raia aliyedhalilishwa,huyo daktari atakiona cha moto.
Hawasemagi 'kunyimwa' bali ni 'kukataliwa' suala linapofika kwenye public.Huyo daktari kazi anayo, anapigaje mwanamke, au alinyimwa
Whatever the reason, kujichukulia sheria mkononi ni kosa la jinai.Kapigwa kafanya nini wabalance story 😅
Mtu akionesha utovu wa nidhamu ndio apigwe?? Taratibu za kisheria zinasemaje pamoja na miongozo ya kiofisi??Wanaficha ukweli hawausemi sababu kwanini kapigwa ndio maana wanapigwa. Oya madaktari pigeni tena mpaka waseme kwanini wamepigwa labda sababu itakua ni utovu wa nidhamu kazini.
Ulaya, kupigana kazini na wizi, ni straight Red Card.Sintoshangaa huyo Daktari kuhamishwa hicho kituo na kesi kuishia hapo..Mambo ya hvo kabisa..
Hivi umesoma ile kitu tunaita matendo yasiyo ya hiari na matendo ya hiara yaani ni sawa wewe ukanyage kaa la moto ukiwa upo pekupeku hapo lazima ufanye tendo lisilo la hiara yaan kuunyanyua mguu haraka sana ili usiungue sana, sasa ndio kilichotokea hapo nadhani huyo mama mjamzito angekufa au kingempata chochote wa kwanza kulaumiwa sio huyo Nesi wakwanza kulaumiwa alikua ni huyo Daktari, sina kingine cha kuongeza.Mtu akionesha utovu wa nidhamu ndio apigwe?? Taratibu za kisheria zinasemaje pamoja na miongozo ya kiofisi??
Ubondia kazini , haufai!Tukio la daktari katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu (Somanda) kudaiwa kumpiga hadi kuzirai muuguzi katika hospitali hiyo limechikuwa sura mpya baada ya ufafanuzi kuanza kuwekwa wazi.
Katibu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Katika Mkoa wa Simiyu, Epafra Charles amesema chama kimetoa tamko na kueleza kuwa kinalaani tukio hilo na kueleza kuwa tukio hilo ni la kweli na siyo mara ya kwanza kwa tukio la unyanyasaji kazini kutokea kumuhusisha Daktari husika.
Ameeleza kuwa wamepata ripoti kutoka kwenye kikao cha Wauguzi ikionesha kuwa kuna malalamiko kadhaa kuhusu daktari huyo jambo ambalo linaonesha si mgeni kwenye matukio hayo.
Pia soma ~ Daktari amempiga hadi kuzirai Muuguzi mwenzetu, hakuna hatua zilizochukuliwa. Waziri wa Afya, TAMISEMI tunaomba msaada