Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

tufahamishane

Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
28
Reaction score
30
Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara
Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hata kama uchawa kuweni na akiba kidogo ya staha ya utu wenu.
 
Hicho chama ndio cha hovyo duniani,kinajali matumbo yao hakijawahi kumjali mwananchi...ndio chama kinapendwa na mafisadi wa ccm,wauza heroin,,majambazi,wadangaji,makaka poa yani hicho chama shetani anakiogopa
 
Na ndiyo chama chenye matapeli zaidi Africa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hata kama uchawa kuweni na akiba kidogo ya staha ya utu wenu.
Waambie ukweli Hawa machawa hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…