Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana.

MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta https://t.co/aE0c8l3uQR

IMG_20220117_035414.jpg
 
Hizi ndio zinaitwa taka ngumu. Kadanganye ukoo wenu ambao nadhani wewe ndio unatetambulika kama genius.
[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Mikakati mizuri ni kuwa wasaliti au kuungana na watesi🤔
 
CHADEMA sidhani ina watu wenye upeo mdogo kama wa kwako.

CCM inaungwa mkono zaidi na watu wajinga (TWAWEZA). Sasa wewe mjinga unaamini unaweza kuwahadaa watu werevu? Huu ujinga uliouweka hapa, utawaokota wajinga wenzako wa huko CCM.
 
Mimi ni Cdm ila kusema kweli ndiyo inakuwa kosa.
Hao jama hawapendi kuambiwa ukweli, hao jamaa Zitto hawamuwezi, wanatumia nguvu nyingi kupambana na Act na Zitto. Wakati zitto wala hana habarinao anaendelea na kile anachokiamini. Zitto ni gogo la udi kila likichomwa ndio linazidi kunukia
 
Back
Top Bottom