Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mtu anayetumia makalio kufikiri ni janga la taifa.Wewe siyo CDM, nyambaf
Endelea na ujinga wako, mpuuziMtu anayetumia makalio kufikiri ni janga la taifa.
Huyu hataka sio cdm, lakini anachongea ni kweli. Cdm kwa sasa kinaenda tu kama ling'ombe.Wewe siyo CDM, nyambaf
Kwa jibu hili ndiyo umedhihirisha hasa kuwa wewe ni mwanaCCM halisi. Wajinga, wendawazimu, low minds wote, ndiyo hazina ya CCM.Mtu anayetumia makalio kufikiri ni janga la taifa.
Haya wahi lumumba kapokee buku 7 yako.Mtu anayetumia makalio kufikiri ni janga la taifa.
Mimi ni Cdm ila kusema kweli ndiyo inakuwa kosa.Huyu hataka sio cdm, lakini anachongea ni kweli. Cdm kwa sasa kinaenda tu kama ling'ombe.
Hii kitu buku saba haipo wala sio kweli.Haya wahi lumumba kapokee buku 7 yako.
Hao jama hawapendi kuambiwa ukweli, hao jamaa Zitto hawamuwezi, wanatumia nguvu nyingi kupambana na Act na Zitto. Wakati zitto wala hana habarinao anaendelea na kile anachokiamini. Zitto ni gogo la udi kila likichomwa ndio linazidi kunukiaMimi ni Cdm ila kusema kweli ndiyo inakuwa kosa.