Chama Cloutus ampa makavu Jemedar Said

Hilo jina jemedari ni lake au A.K.A?Maana majina ya vijana siku hizi hayaeleweki
 
Nazani ni Muda Wa Chama kua mpiga mieleka. Huenda ana kipaji kikubwa Sana cha kuwachota watu mitama maana aliwahi kumkanyaga Feisal Hadi Dogo akapiga mayowe
Nazani ndio nini????kiswahili tu hujui


Utopolo hamna akili[emoji1787]
 
Usijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]

Rage aliona mbali sana
Kabisa mkuu, Rage hakukosea kuwabatiza jina hilo.
 
Angetutesa kama angewapa makombe.. misimu miwili sasa mnatoka kapa.
Tangu atoke uarabuni hajawahi kuonja Harufu ya medali yoyote ile..
Tofauti na Judo na mitama sijui amefanya nn kikubwa msimu huu
Ni uzuzu kuwacheka Simba kutoka kapa misimu miwili wakati utopolo wametoka kapa misimu minne mfululizo,



Haya pia ni maajabu ya ulimwengu
 
Jose Mourinho alimpa shiiiit kama hizi Garry Neville alipotimuliwa ukocha huko Hispania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakumbuka mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni uzuzu kuwacheka Simba kutoka kapa misimu miwili wakati utopolo wametoka kapa misimu minne mfululizo,



Haya pia ni maajabu ya ulimwengu
Kwahiyo hayo makombe manne mliyochukua yametosha??
 
Kwahiyo hayo makombe manne mliyochukua yametosha??
Ndio uneandika nini sasa hapo?

Kama hesabu rahisi tu ya 4 - 2 imekushinda sasa wewe si ni utopolo kabisa[emoji1787]
 
Akome,katika mijitu siipendi basi ni pamoja na huyu babu mchambuzi wa mchongo yeye ni kuandika negative kuhusu yanga,tena ningekuwa mimi ndio chama ningeongezea na tusi kubwa hapo mwishoni
 
Uliponikosha mtoa mada ni pale ulipoandika RUVU GARRANTS, hapo ndipo nilipojua uwezo wa mashabiki wengi wa Simba.
Mimi nadhani sio uwezo ni kuchanganyikiwa.
Wanavyoichukulia Uto na inachokionyesha uwanjani lazima akili upotee kwa muda.
 
Jemedari sijui kama yeye anajibu kiingereza ila azamtv wameanza kuonyesha ligi ya Kenya kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia wachambuzi, watangazaji hata makocha na wachezaji sio wakianza kuongea utasikia namshukuru Mungu
 
Jemedari sijui kama yeye anajibu kiingereza ila azamtv wameanza kuonyesha ligi ya Kenya kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia wachambuzi, watangazaji hata makocha na wachezaji sio wakianza kuongea utasikia namshukuru Mungu
 
Hatimaye yamewagusa sasa, anapowaongelea wananchi mnamshabikiaga fresh tu
 
Mwambie Chama hadhi yake siyo ya kufanya vitendo vya kihuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…