Chama Cloutus ampa makavu Jemedar Said

Chama Cloutus ampa makavu Jemedar Said

Hilo jina jemedari ni lake au A.K.A?Maana majina ya vijana siku hizi hayaeleweki
 
Nazani ni Muda Wa Chama kua mpiga mieleka. Huenda ana kipaji kikubwa Sana cha kuwachota watu mitama maana aliwahi kumkanyaga Feisal Hadi Dogo akapiga mayowe
Nazani ndio nini????kiswahili tu hujui


Utopolo hamna akili[emoji1787]
 
Usijali hawa ni MBUMBUMBU Sana halafu wala hawana presha ndo maana loser wanaita looser [emoji28]
Super League utasikia super cup [emoji38]
Leo gallants imekua garrants [emoji2957]

Rage aliona mbali sana
Kabisa mkuu, Rage hakukosea kuwabatiza jina hilo.
 
Angetutesa kama angewapa makombe.. misimu miwili sasa mnatoka kapa.
Tangu atoke uarabuni hajawahi kuonja Harufu ya medali yoyote ile..
Tofauti na Judo na mitama sijui amefanya nn kikubwa msimu huu
Ni uzuzu kuwacheka Simba kutoka kapa misimu miwili wakati utopolo wametoka kapa misimu minne mfululizo,



Haya pia ni maajabu ya ulimwengu
 
Kabisa mkuu, Rage hakukosea kuwabatiza jina hilo.
Huyu ajengewe sanamu[emoji119]
FB_IMG_1682362490497.jpg
 
Ni uzuzu kuwacheka Simba kutoka kapa misimu miwili wakati utopolo wametoka kapa misimu minne mfululizo,



Haya pia ni maajabu ya ulimwengu
Kwahiyo hayo makombe manne mliyochukua yametosha??
 
Kwahiyo hayo makombe manne mliyochukua yametosha??
Ndio uneandika nini sasa hapo?

Kama hesabu rahisi tu ya 4 - 2 imekushinda sasa wewe si ni utopolo kabisa[emoji1787]
 
Akome,katika mijitu siipendi basi ni pamoja na huyu babu mchambuzi wa mchongo yeye ni kuandika negative kuhusu yanga,tena ningekuwa mimi ndio chama ningeongezea na tusi kubwa hapo mwishoni
 
Uliponikosha mtoa mada ni pale ulipoandika RUVU GARRANTS, hapo ndipo nilipojua uwezo wa mashabiki wengi wa Simba.
Mimi nadhani sio uwezo ni kuchanganyikiwa.
Wanavyoichukulia Uto na inachokionyesha uwanjani lazima akili upotee kwa muda.
 
Jemedari sijui kama yeye anajibu kiingereza ila azamtv wameanza kuonyesha ligi ya Kenya kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia wachambuzi, watangazaji hata makocha na wachezaji sio wakianza kuongea utasikia namshukuru Mungu
 
Jemedari sijui kama yeye anajibu kiingereza ila azamtv wameanza kuonyesha ligi ya Kenya kuna vitu vingi vya kujifunza kuanzia wachambuzi, watangazaji hata makocha na wachezaji sio wakianza kuongea utasikia namshukuru Mungu
 
Hatimaye yamewagusa sasa, anapowaongelea wananchi mnamshabikiaga fresh tu
 
@jemedarisaid I think now you getting on my nerve small issues you want to make stories like you even know football when all you do is talk day in day out you just talk about football guy don’t act so dumb. Ask the players involved then you will understand what you want to poke your nose in . If I meant to injure him how come he continued and we all finished the match ? Talk to improve not to gain followers on social media .,,,,,,,,,,

Binafsi nimeona poa sana maana hawa wanaojiita wachambuzi nao wamezidi aiseeh, katika game ya jana wameona tukio moja tu......then huwa wanaexpress kitu si kwa kujenga bali kupata followers..........
Sababu akifanya mchezaji wa timu ndogo hukuti wanaizungumzia sana kama hivi,

Mechi ya Azam huyu Chama alipigwa ngumi na Akaminko,
Bajana alimchezea rafu mbaya sana Kanoute
Ila ile MITAMA ya kirusi putin ndiyo ilimake headline[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Game ya jana Sakho alipigwa kiwiko na mchezaji wa Ruvu Garrants
Sakho tuna alichezewa rafu mbaya na mchezaji wa ruvu na ikapelekea mkude kukasirika na yeye kwenda kucheza rafu iliyopelekea kupewa kadi,

Ukifanya marejeo ya video huyu aliyekanyagwa na chama alifanya kama vile kwa saido ntibanzokiza tuna mpaka kiatu kikavuka,na hiyo clip waliyoikata inaonesha nyuma huyu jamaa alikuwa anamkanyaga chama,ila wameamua kujimegea kipande chao na kukiongelea mitandaoni....
INAKERA SANA.



NB:SITETEI VITENDO VIOVU KTK SOKA,ILA TUSIWEKE MASLAHI MBELE BALI TUZINGATIE USAWA ...TUSIONEE
View attachment 2620238
Mwambie Chama hadhi yake siyo ya kufanya vitendo vya kihuni.
 
Back
Top Bottom