Chama gani cha upinzani Tanzania angalau kina sera na uelekeo wa kuaminika kwa sasa?

licha ya kwamba bado wanaendelea kugawanyika na kuvurugana miongoni mwao, wao kwa wao lakini bado wapo tu, right?πŸ’
Chadema kina endelea kuwa chama bora ingawaje kinapitia majaribu ya ccm kukivuruga kinakomazwa
 
Unauliza maswali Gani ya kitoto
Ya maswali ya darasa la 2B
 
Unauliza maswali Gani ya kitoto
Ya maswali ya darasa la 2B
Yanakutoa jasho kwenye utu uzima, dah!πŸ’
Chadema kina endelea kuwa chama bora ingawaje kinapitia majaribu ya ccm kukivuruga kinakomazwa

sio kinavurugana chenyewe maana ni bora mno kwenye mihemko na ghadhab πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…