Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema kina endelea kuwa chama bora ingawaje kinapitia majaribu ya ccm kukivuruga kinakomazwalicha ya kwamba bado wanaendelea kugawanyika na kuvurugana miongoni mwao, wao kwa wao lakini bado wapo tu, right?🐒
Unauliza maswali Gani ya kitotoTanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...
Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?
kitaje na useme kidogo kwanini hicho 🐒
Yanakutoa jasho kwenye utu uzima, dah!🐒Unauliza maswali Gani ya kitoto
Ya maswali ya darasa la 2B
Chadema kina endelea kuwa chama bora ingawaje kinapitia majaribu ya ccm kukivuruga kinakomazwa