Chama gani cha upinzani Tanzania angalau kina sera na uelekeo wa kuaminika kwa sasa?

gentleman ๐Ÿ’
uchaguzi tutaongelea siku ingine kwa kirefu,
ni chama gani cha upinzani nchini angalau kina sera na walau mipango inayoweza kuvutia na kubeba matumaini ya wananchi?๐Ÿ’

usiogope wala usione aibu kutaja, be free kamanda ๐Ÿ’
Kipimo Cha sera nzuri ni uchaguzi ambapo wananchi watachagua. Sasa kama uchaguzi ni wa kishenzi, unaweza kupima vipi hizo sera kukubalika na wananchi?
 
I did not get your question, can you come back please!, for me to give an appropriate answer, you said open motion without specifications
maybe it's because you are very good to reply than to understand topics and motions posed in place, for publics engagements and discussions;

and that is not my fault, but yours to work on it ๐Ÿ’
 
Kipimo Cha sera nzuri ni uchaguzi ambapo wananchi watachagua. Sasa kama uchaguzi ni wa kishenzi, unaweza kupima vipi hizo sera kukubalika na wananchi?
sawa,
sasa, ni chama gani cha siasa cha upinzani Tanzania hakina sera nzuri na kwa hivyo kina uchaguzi wa kishenzi kama unavyo dai wewe?๐Ÿ’

na je kinakubalika kwa wananchi au kinakataliwa kila uchaguzi kwasababu hiyo?๐Ÿ’
 
TADEA na SAU
 
maybe it's because you are very good to reply than to understand topics and motions posed in place, for publics engagements and discussions;

and that is not my fault, but yours to work on it ๐Ÿ’
The topic is about oposition parties policies, though asked why with your ruling party policies have failed to alliviate poverty to individuals and meet welfare economy
 
The topic is about oposition parties policies , though asked why with your ruling party policies have failed to alliviate poverty to individuals and meet welfare economy
can we finish and conclude the specific motion first,

then on other day and occasion, you can table that motion you are suggesting with detailed informations, then we can engage on it according to your explanations,

understand gentleman? :pulpTRAVOLTA:
 
understand gentlema

We have poverty stricken societies, (individuals), all over the country, this does not need any proof, when discussing about political parties policies it is healthy to make a competitive analysis VS ruling party policies
 
the poverty you are talking about is due to lack of vibrant and visionary oppositions, with their poor strategies and alternative plans to check the ruling party and make it countable to the citizens ๐Ÿ’
 
Tanzania kuna vyama vya kisiasa zaidi ya 20 vyenye usajili wa kudumu. hata hivyo, vipo zaidi ya hivyo vyenye usajili wa muda kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa...

Je, ni kipi kwa maoni yako,
miongoni mwa vya vyama vya siasa vya upinzani, chenye usajili wa kudumu, ambacho kipo hai, chenye muundo imara na mzuri wa kitaasisi, chenye uongozi unao eleweka kwa awamu, chenye katiba nzuri, chenye wanachama wengi zaidi ya mashabiki, chenye sera nzuri mbadala, chenye mikakati ya kuvutia wananchi, chenye mipango na uelekeo wa chama cha upinzani kweli, na ambacho angalau kina aminika kwa wananchi kwa sasa?

kitaje na useme kidogo kwanini hicho ๐Ÿ’
Chama pendwa,kilichosheheni mioyoni mwa watanzania CHADEMA โœŒ๏ธ๐Ÿซ 
 
Back
Top Bottom