William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
- Thread starter
- #21
Exactly. Ntaamia yanga kabisaHata akienda yanga utamshabikia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exactly. Ntaamia yanga kabisaHata akienda yanga utamshabikia?
Viongozi walikuwa wanataka 10% tu. Ndio aliyoipeleka Simba makundi kwa mara ya kwanza. Na alipoondoka ikadondokea Shirikisho.ila aliwanyanyasa sana kwenye vipindi vya usajili,wacha iwe zamu yake sasa
Achana na hizo fitina za Viongozi. Naombea Chama atue Azam tu. Watu wanazani kila mchezaji anaweza kuwa bora. Ona yanga na sajili na kila kitu lakini inajitafuta ligi ya mabingwaTunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.
Dirisha dogo nashauri safisha safisha kubwa ifanyike
Ana vituko vip? Au tunaaminishwa hivyo. Sijaona kituko chochote wala kukisikia zaidi ya vurugu na uongozi tu. Au umesikia kafanyajeChama amechosha sana kwa vitendo vyake vya nje ya uwanja. Kwa kweli, nahitaji zaidi utulivu pale Simba, so Chama aende tu ili tupumzike na vituko vyake.
Ova
Hata hasani dilunga alikuwa na machango kama chama kwenye champions league kwa nn alipoondoka hamkupiga kelele kwenye mpira hakuna kuachana kwa wema haijalishi umeifanyia nini team ila ukileta jeuri unaondoka licha ya christiano Ronaldo kuwa na mchango mkubwa ila aliondoka tena sio kwa wema hata sergio RAMOS hakuondoka vizuri na hata hili yanga walilifanya kwa Saidoo djuma shabani na bangala hamna shida aende tu hakuna mchezaji mkubwa kuliko club.Baada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Ni kama okwi alivyokuwa anawatesa simba ila mwisho wa siku alamua yaishe.Chama ni mzuri tatizo ana jeuri na migomo ya kujirudia rudia.
Weka ushaidi wa video basi tumechoka propaganda.Mkuu chama alimbishia live tena mbele ya mashabiki WA Simba kocha wa viungo je hii sio utovu wa nidhamu unadhan hakuna anayempenda chama?
Huyo amepuyanga inatakiwa atulie na aombe radhi aache ujuaji
Hivi kwa mechi nne alizocheza unadhan sisi mashabiki tunalaumu yeye kuanzia benchi......
Chama aache ulimbukeni awe na subra
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Unaijua kwa ndani hiyo migogoro auChama ni mzuri tatizo ana jeuri na migomo ya kujirudia rudia.
Timu za Tanzania ni mazwazwa Sana. Mchezaji akishatoka timu yako akirudi sio yule tena. Unakuta watu wanahangainga wamrudishe kisa alifanya vizuri kabla ya kuondoka. Tunaona ya Makambo na YANGA, Tunaona ya Morson na YANGA, Tunaona ya Luis na Simba na chama na Simba. Kwanza sijui hao Simba kumrudisha walisahau ule mgogoro wake na mwenye timu na manara?Afrika Kuna wachezaji wengi tumieni akili kuleta wapya. YANGA msijiloge kumrudisha mayele mkadhani atakuwa yule yuleBaada ya kuja kocha Cadena Chama na Phiri waliwekwa kwenye presha kubwa sana. Lengo wateswe kisaikolojia watoke mchezoni.
Kweli bana fitina zikakuzwa kwa kocha Chama akaanza kutemwa mara Benchika alipokuja.
Mechi nne zimetumika kumwaga chama. Na wanavumisha kagombana na kocha sio kweli bali kagombanishwa
Taarifa iliyotolewa imemjumuisha kapama kama chambo tu. Baada ya chama anafata Phiri.
Laana ya Chama haitawaacha viongozi salama. Leo mfukuzeni lakini mjue alistaili kuondoka kwa heshima ata kama aliikuwa na Makosa gani!..
Na kama yapo yangesemwa basi.
Mimi ni simba lakini ntamshabikia chama kokote atakapoenda.
Siko kwenye nafasi ya kuaminishwa, ila ndiyo iko hivyo Chama ana vituko kama Haji Manara.Ana vituko vip? Au tunaaminishwa hivyo. Sijaona kituko chochote wala kukisikia zaidi ya vurugu na uongozi tu. Au umesikia kafanyaje
Hivi neno sahihi ni vituko au visa?Siko kwenye nafasi ya kuaminishwa, ila ndiyo iko hivyo Chama ana vituko kama Haji Manara.
Ova
Vipi hivyo. Chama anavurugwa na Timu sio leo toka zamani baada ya chama anafata phiri.Siko kwenye nafasi ya kuaminishwa, ila ndiyo iko hivyo Chama ana vituko kama Haji Manara.
Ova
Haya semajiWeka ushaidi wa video basi tumechoka propaganda.
Chama hajashuka Uwezo bali viongozi walishamtoa mchezoni mapema toka Cadena achukue timu. Cadena hakuwa kocha ni mbabaishaji tu.