Chama hajagombana na kocha bali viongozi. Ata kama mmemchoka mmuache kwa heshima sio mizengwe ameifanyia makubwa klabu pia

Tunawajua ninyi utopolo!Chama ni mmoja wa wachezaji mliomtumia kimkakati na mmekuwa mkifanikiwa sana na mikakati yenu.
Dirisha dogo nashauri safisha safisha kubwa ifanyike
Achana na hizo fitina za Viongozi. Naombea Chama atue Azam tu. Watu wanazani kila mchezaji anaweza kuwa bora. Ona yanga na sajili na kila kitu lakini inajitafuta ligi ya mabingwa
 
Chama amechosha sana kwa vitendo vyake vya nje ya uwanja. Kwa kweli, nahitaji zaidi utulivu pale Simba, so Chama aende tu ili tupumzike na vituko vyake.

Ova
Ana vituko vip? Au tunaaminishwa hivyo. Sijaona kituko chochote wala kukisikia zaidi ya vurugu na uongozi tu. Au umesikia kafanyaje
 
Hata hasani dilunga alikuwa na machango kama chama kwenye champions league kwa nn alipoondoka hamkupiga kelele kwenye mpira hakuna kuachana kwa wema haijalishi umeifanyia nini team ila ukileta jeuri unaondoka licha ya christiano Ronaldo kuwa na mchango mkubwa ila aliondoka tena sio kwa wema hata sergio RAMOS hakuondoka vizuri na hata hili yanga walilifanya kwa Saidoo djuma shabani na bangala hamna shida aende tu hakuna mchezaji mkubwa kuliko club.
 
Weka ushaidi wa video basi tumechoka propaganda.
Chama hajashuka Uwezo bali viongozi walishamtoa mchezoni mapema toka Cadena achukue timu. Cadena hakuwa kocha ni mbabaishaji tu.
 
Timu za Tanzania ni mazwazwa Sana. Mchezaji akishatoka timu yako akirudi sio yule tena. Unakuta watu wanahangainga wamrudishe kisa alifanya vizuri kabla ya kuondoka. Tunaona ya Makambo na YANGA, Tunaona ya Morson na YANGA, Tunaona ya Luis na Simba na chama na Simba. Kwanza sijui hao Simba kumrudisha walisahau ule mgogoro wake na mwenye timu na manara?Afrika Kuna wachezaji wengi tumieni akili kuleta wapya. YANGA msijiloge kumrudisha mayele mkadhani atakuwa yule yule
 
Mpaka Sasa namshangaa viongozi kutowajibika kwa kipigo cha aibu, badala yake wanatafuta vijisababu.
 
Mmesahau kwa feisal tulikomaa ikapita ss zamu yenu komaen pumbavu sn nyie simba dawa ya Moto ni Moto
 
Aende, simba timu kubwa itafute mbadala wake tu.
 
Siko kwenye nafasi ya kuaminishwa, ila ndiyo iko hivyo Chama ana vituko kama Haji Manara.

Ova
Hivi neno sahihi ni vituko au visa?
Hivi nadhani ni visa maana vinawaumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…