William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Wewe Utopolo, ya Simba hayakuhusu. Hakuna MwanaSimba anaweza kuwa na akili mbovu kama zako, Chama Hauzwi na hana Mpango na huko unakowaza.Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.
Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.
Naomba chama aende Azam au Yanga na ahame na sisi sio wakumpuuza tu
Benchi na kauli za benchika zote zinaonesha viongozi hawamtaki sio chama tu bali Ata phiri.Wewe Utopolo, ya Simba hayakuhusu. Hakuna MwanaSimba anaweza kuwa na akili mbovu kama zako, Chama Hauzwi na hana Mpango na huko unakowaza.
Sawa ila siupendi uamuzi wa viongozi kila wakati.Jinga kwelikweli, sasa ukihama simba itapungukiwa nini? aaf unamtishia nani?
Utopolo mna wazimu sana, mara muombe kwenda kundi la Simba CAF, sasa unapigia debe chama ahamie utopoloni. Mnawashwawashwa.Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.
Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo juu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.
Naomba chama aende Azam au Yanga na ahame na sisi sio wakumpuuza tu
Huyu siyo Utopolo ni Kolo mwenye akili zake timamu.Utopolo mna wazimu sana, mara muombe kwenda kundi la Simba CAF, sasa unapigia debe chama ahamie utopoloni. Mnawashwawashwa.
Hata wahame mashabiki 1M, bado hawana athari yoyote kwa Simba Sc. Ni sawa na kuhamisha maji ya bahari kwa kikombe cha kahawa.Mi mashabiki wanaosema wanahama sijui wanachoma jezi huwa siwaelewi...sasa ukichoma jezi ulonunua kwa hela yako hasara kwa nani? Na ukihama ww mmoja au 20 au 30 club itashtuka?
Huyo sasa ndiyo Simba halisi kwa Mapenzi na tabia hamumfikii, ndiyo mfano halisi wa wanasimba ni kama kipindi kile mlivyotaka kocha aingie kwenye mfumo wa ChamaMi mashabiki wanaosema wanahama sijui wanachoma jezi huwa siwaelewi...sasa ukichoma jezi ulonunua kwa hela yako hasara kwa nani? Na ukihama ww mmoja au 20 au 30 club itashtuka?
Tangu alipohama Simba haijawahi kushinda kombeAcha kutishia nyau. Hizo akili alikuwa nazo Manara kuwa bila yeye mpira wa Bongo utayumba akashangaa hamasa ndio inaongezeka karma kukimbilia kwa muuza papuchi Zaylissa
Sidhani km Simba wamerudi nyuma baada ya yeye kuondoka zaidi naona wamepiga hatua. Ni dawa na useme kwamba Ally Kamwe ndio amesababisha Yanga kubeba kombe la NBC PL msimu uliopita.Tangu alipohama Simba haijawahi kushinda kombe