Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

Chama hana mbadala Simba. Akiondoka sasa hivi aende Yanga au Azam nahama naye na nachoma jezi ya Simba

Huyo sasa ndiyo Simba halisi kwa Mapenzi na tabia hamumfikii, ndiyo mfano halisi wa wanasimba ni kama kipindi kile mlivyotaka kocha aingie kwenye mfumo wa Chama
Sio mpka uhame kisa mtu hapangwi khee
 
Sio mpka uhame kisa mtu hapangwi khee
Mpira ni pamoja na kuvumilia mambo yanakwenda ndivyo sivyo upande wako. Sasa watu wanataka kila kitu upande wao kiende watarajiavyo. Ushindi wapate na bado wanataka wampangie kikosi kocha.
Unahama kwa ajili ya mchezaji aliyebakiza mwaka mmoja ambaye yupo tayari kuvunja mkataba wakati wowote!!!
Kweli kama ni mashabiki mnao
 
Tupo wafia timu..iwe mvua iwe kiangazi tutakuwepo..hao ni wachache sana
 
Simba viongozi wanazani kupata mchezaji wazuri ni pesa tu. Wanaiumiza Timu sana.

Ata wachezaji wenzake hakuna aneweza kutia mashaka uwezo wake ulivyo uu kabisa.
Katoa asist matata mechi ya Al ahly. Wanawazurumu pesa zao alafu wanamfitinisha na kocha.

Naomba chama aende Azam au Yanga na ahame na sisi sio wakumpuuza tu
Mke wa chama alifariki, nenda kachukue nafasi dada
 
Back
Top Bottom