Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Moja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini.
Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwahi kuomba hata na kupanga safari kwenda nchi mbalimbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi hilo hilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania. Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi hilo linataka mabadiliko fulani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi hata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchini Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikuwa kimeifanya Misri kama uwanja wa vita hasa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...