Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi. Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Hivi sometimes mnawaza kwa kutumia nini?Moja kwa moja kwenye mada

Uchaguzi hashiriki chadema halafu anayeumia ni mbogambogaMoja kwa moja kwenye mada

Unamaanisha CHADEMA, ACT NA CCM vinatakiwa kufutwa ?Moja kwa moja kwenye mada

Hapana anaeumia ni yule anaeona CHADEMA ikihamasisha nchi marafiki kuiona Tanzania aifai wala hamna Demokrasia. Sitofautishi Lissu na wenzake wa sasa kama akina Mobutu na wenzake waliofanya mbinu ili Patrice Lumumba auwawe kusudi waingie madarakani na kuuza migodi kwa hao mabwanyenye.Uchaguzi hashiriki chadema halafu anayeumia ni mbogamboga
Chama kinachowhirikiana na nchi nyingine kukopa nakuombaomba kinahatarisha uhuru wetu kwakukubali masharti yawazungu 🤣🤣🤣🤣wazungu mkishirikiana nao nyie mnajenga nchi wakishirikiana nao CDM wanabomoa nchi hao hao acheni utapeli wakubwaMoja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi. Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Leo Muslim Brotherhood imepukutika... Sema ni kwakua utawala wetu una upendo na huruma sana. CHAMA KINACHODIRKI KUISEMA NCHI KUA AIFAI NA IFUNGIWE MISAADA AU KUSHIRIKIANA NAYO HICHO CHAMA NI ADUI YA WATANZANIA SOTE.Tatizo mtafuta chama, ila ideologies ambazo tayari zimeshapandikizwa kwenye vya watu na hicho chama bado ikawa ni tatizo kwenu msiopenda mabadiliko...kwa hiyo mtajikuta mnafanya kazi bure tu.
Serikali inashirikiana na hizo nchi kwa mazuri kama ulivyosema mwenyewe nasio kuleta taharuki,vurugu nk. CHADEMA MUST BE TREATED LIKE MUSLIM BROTHERHOODChama kinachowhirikiana na nchi nyingine kukopa nakuombaomba kinahatarisha uhuru wetu kwakukubali masharti yawazungu 🤣🤣🤣🤣wazungu mkishirikiana nao nyie mnajenga nchi wakishirikiana nao CDM wanabomoa nchi hao hao acheni utapeli wakubwa
No reform No Election
Wewe ni mjinga.Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi. Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Mkuu kule kwao bila kuweka hizo mambo kwenye mlo wao unakua auna maana wala aupendezi. Chukulia hivyoNiliwahi kuandika hapa kuwa ukiona unajiita jina fulani ukiwa either consciously or unconsciously mara linakuwa lipo attached na wewe
"Bishweko " Means ........