Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

Una ushahidi ?
 
Wewe jifunze tofauti ya haifai na aifai kwanza kabla ya kuja kujifaragua hapa.

Kiswahili tu hujui, unalazimisha kujadili siasa na uongozi wa nchi?
Ni wapi ndugu ilipo andikwa kua ili kujadili na kushauri ni sharti ukijue vizuri Kiswahili? Mwisho bila CHADEMA kujirudi na kusimima kwenye misingi ya utaifa hamna namna nyingine zaidi ya kufutwa.
 

Uliwahi kujisikitikia kwa kukosa akili timamu?
 
CCM inashirikiana na Wachina
Ili ni kweli kabisa... lakini CCM inashirikiana na wachina kuleta maendeleao nasio kusema wachina waache ushirikiano na Tanzania au wainyime misaada Tanzania.
 
Niliwahi kuandika hapa kuwa ukiona unajiita jina fulani ukiwa either consciously or unconsciously mara linakuwa lipo attached na wewe

"Bishweko " Means ........

Hilo jina Bishweko lazima litakuwa na uhusiano na uwendawazimu!
 
Kajifunze kuandika kisha urudi kuandika tena, utopolo mtupu ulioandika hapa.
Nitashangaa sana ukinambia na wew ni mwanafunzi au mhitimu wa Chuo kikuu
Hii si hoja, pia si kila aliepita chuo au shule amefunzwa kwa lugha ya Kiswahili kwahiyo lazma awe nguli wa Kiswahili. Karibu kwenye hoja
 
Si bora hao wanao shirikiana tu kwa maneno, vip wale walio gawa kabisa na mali asili za taifa kwa waarabu!? Hao si ndio wanatakiwa kupigwa mawe hadharani kabisa.
Mkuu hizi ni hisia na mihemko kitu ambacho si sahihi, tatizo ni kuwaza hivyo hivyo
 
Ili ni kweli kabisa... lakini CCM inashirikiana na wachina kuleta maendeleao nasio kusema wachina waache ushirikiano na Tanzania au wainyime misaada Tanzania.
Maendeleo gani wanashirikiano nao kuleta ?
 
Bila shaka wewe utakua CHADEMA. Maana CHADEMA mara zote wanakosa hoja ila wanatabia ya matusi na kebehi.


Very stupid argument.
Mimi ni mfuasi wa haki wa kudumu, siangalii chama.

Hakuna mwenye akili timamu, aliye na utu wa kweli, mwenye Roho wa Mungu, na mtu safi, anayeweza kuunga mkono ushetani wa kuteka na kuua watu, wala uporwaji wa haki za wananchi katika kuwapata viongozi wanaowataka.

Anayeshabikia mtu au taasisi yoyote inayofanya ushetani kama ule wa kuteka na kuua wakosoaji au kupora haki za wananchi, huyo ni shetani. Hata wewe ni dhahiri umfuasi wa shetani, maana hutaki haki, wala hujali wala huheshimu thamani ya uhai wa binadamu wenzako. Kwa sababu ya hiyo, tunaomba mkono wa Mungu uwe juu ya kichwa chako na kizaxi chako. Mlivyo mashetani, mlitaka kumwua mpaka katibu wa TEC.

Hayo mataifa ya nje au taasisi za ndani zinazokemea utekaji na maauji ya binadamu, na udhulumaji wa haki za watanzania, ni sauti ya Mungu. Lazima kupitia dhamira zao njema watabarikiwa, na ninyi mashetani mnaoshabikia uovu, kuna siku laana itawaandama.
 
Mimi nadhani ni vizuri kama tutasitishiwa misaada ili tujitegemee kwa sasa uchumi wetu unafanya vizuri sana kuliko Marekani
 

Kama ungekuwa na akili ulipaswa kusema "Kiongozi yeyote anayetaka kwenda Ikulu kwa udi na uvumba, tumkatae"
 
Kifutwe kwanza kinachoua raia wa taifa lao halafu tufuatie na kinachowatetea raia wa taifa lao.
 
Kudiliki..Hilo neno kuliona tu nimegundua mwandishi ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…