Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Is not about tabia is about usahihi, uhakika wako unaweza usiwe sahihi according to available informationSina tabia za kuandika vitu bila kua na uelewa na uhakika

Lini uliwai kusikia CCM ikiwaasa vyama rafiki wa CHADEMA kua wasiipe ushirikiano ,wasitoe pesa nk? CHADEMA inasema nchi hizo zifute urafiki,ushirikiano na kuiwekea vikwazo Tanzania. Unafikiri ili ni sawa?
Bishweko kwa kiswahili ni takatakaMkuu kule kwao bila kuweka hizo mambo kwenye mlo wao unakua auna maana wala aupendezi. Chukulia hivyo
Kwa hiyo chadema inauwezo huo wa kusema nchi rafiki zisiweze kusaidia na kufuta rafiki Tanzania? Swali nini kimepelekea chadema kusema ivyo? Kama chadema inauwezo huo wa kupelekea nchi rafiki zikasitisha urafiki basi Chadema haiwezi kufutwa CCM tufanye reforms tuingie kwenye uchaguzi tubadilishe Mgombea Chadema haiwezi kushinda CCM kwenye box la kura hata tukifanya reforms nina uhakika huoLini uliwai kusikia CCM ikiwaasa vyama rafiki wa CHADEMA kua wasiipe ushirikiano ,wasitoe pesa nk? CHADEMA inasema nchi hizo zifute urafiki,ushirikiano na kuiwekea vikwazo Tanzania. Unafikiri ili ni sawa?
Kwanni wakisikilizwa na kufanyiwa maombi yyao kuna kesi gani?Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Na vip chama kinacho shirikiana na vyombo vya dola kuteka na kuua Raia wake wasio na hatia, hicho kina stahili adhabu gani?Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Chama kinachodiliki (unamaanisha "Kinachodiriki", hivi wewe hata Kiswahili hujui, Kiingereza hujui, unaelewa maana ya opposition party?Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Qmmk!Moja kwa moja kwenye mada

Aftakhafirullah kumbe ulisha LAANIWA 😰😰😰Moja kwa moja kwenye mada

Opposition political does not mean chaotic or puppet political party. Tatizo mnakariri mlivyofundishwa shuleni wakati wa debate basi.. Opposing side vs Proposer side .Hii si maana sahihi kwenye political oppositionChama kinachodiliki (unamaanisha "Kinachodiriki", hivi wewe hata Kiswahili hujui, Kiingereza hujui, unaelewa maana ya opposition party?
Kwamba ni lazma maoni na matakwa ya CHADEMA yasikilizwe na kufanyiwa kazi..labda ilo litakua Taifa la matahira. Chakufanya ni CHADEMA kubadirika kwa kuuza sera ila wananchi wakichague basi ila sio kuomba eti EU,USA nk waifungie Tanzania misaada,ushirikiano nkKwanni wakisikilizwa na kufanyiwa maombi yyao kuna kesi gani?
Ushapewa kaulaji sasa huwezi hata kusikia vilio vya wenngine
Ni kweli, kwenye mkutano wa juzi kati wa ccm walionekana wawakilishi wa vyama rafiki toka korea kaskazini, China na UrusiMoja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Kweli ni ili sio kosa bali shida ni pale kundi flani linapoanza kushawishi kundi jingine kau hoo Tanzania sio salama,Tanzania ifungiwe misaada,Tanzania isikubarike kimataifa nk.. Je,tuliwai kuona au kusikia CCM ikishauri vyama rafiki na CHADEMA kutengana na CHADEMA au kuwanyima pesa nk? KARIBUNi kweli, kwenye mkutano wa juzi kati wa ccm walionekana wawakilishi wa vyama rafiki toka korea kaskazini, China na Urusi