Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

Kifutwe kwanza kinachoua raia wa taifa lao halafu tufuatie na kinachowatetea raia wa taifa lao.
Mbona amjawai kusema Republic ifutwe kwa kuua watu huko Iraq Democratic ifutwe kwa kumua Gaddaff? Hakuna chama cha Siasa kinachoua watu bali ni matukio ya ujambazi ndiyo yanatokea kua na vifo.
 
Kama ungekuwa na akili ulipaswa kusema "Kiongozi yeyote anayetaka kwenda Ikulu kwa udi na uvumba, tumkatae"
Kwamba wewe hapo ndiyo umeona umetumia akili sana.. jenga hoja ila kama wewe ni CHEDEMA utoweza kujenga hoja bali utaweza kukebehi nk
 
Mimi nadhani ni vizuri kama tutasitishiwa misaada ili tujitegemee kwa sasa uchumi wetu unafanya vizuri sana kuliko Marekani
Uchumi unaweza kufanya vizuri kuliko ata China .. ili ni jambo la kiuchumi ambalo ni vigumu mtu kuelewa .Mfano nchi ya Tanzania uchumi umekua aslimia 3.7% mwaka ulioisha wa fedha na mwaka huo huo USA uchumi umekua kwa aslimia 2.3% .Je,ni nchi gani inakua zaidi ya nyingine in terms of growth? KARIBU
 
Yaani wewe unasema haki za watu alafu hapo hapo unatukana mtu. Hizi ni akili kweli ndugu? Mungu yupi sijui unae mzungumzia.. nikushauri tu,punguza mihemko na hisia ukitumia vitu hivyo uwezi kamwe kujua au kuona kweli. Hakuna Demokrasia isiyo na wajibu wala mipaka.. ikiwa hivyo basi hamna umuhimu wa kuwepo serikali.
 
Kifutwe kwanza kinachoua raia wa taifa lao halafu tufuatie na kinachowatetea raia wa taifa lao.
Hakuna chama kinachoua watanzania au watu wake,ukisema hivyo basi ata leo wewe ungekua maiti ndugu. Punguza kununua maneno na ulaghai wa wanasiasa... Kuitangazia Dunia kua Tanzania ni nchi hatari ,ufungiwe misaada,ufungiwe ushirikiano ni kukubaliana na wauaji kua waue kizazi chote
 
Kwa kuwa wanaopotea wanajipoteza na wanaouliwa wanajiua
 
Vipi Kuhusu vyama vinavyoshirikiana na CCM kupoteza watu navyo vifanyweje?
 
Kwamba wewe hapo ndiyo umeona umetumia akili sana.. jenga hoja ila kama wewe ni CHEDEMA utoweza kujenga hoja bali utaweza kukebehi nk

Wewe endelea tu na mitano tena na October tunatick. Haya yunayoyasema sasa wewe utayaelewa 10 years later.
 
Watu wako wapi we bwege? Nyie misukule wa humu mitandaoni?
Mnafikiri kila mtu ni mjinga mjinga asiyekuwa na uwezo wa kufikiri kama hao mnaowapa kanga na chumvi kisha wanaanza kuropoka eti kidumu chama tawala?
 
Ni wapi ndugu ilipo andikwa kua ili kujadili na kushauri ni sharti ukijue vizuri Kiswahili? Mwisho bila CHADEMA kujirudi na kusimima kwenye misingi ya utaifa hamna namna nyingine zaidi ya kufutwa.
Wewe ni ngumbaru tu, kwa muandiko wako wa kutojua tofauti ya diriki na diliki umeshindwa kujua lugha yako mwenyewe unajifaragua vipi kuchambua siasa.
 
Kwanza mimi wala sijui nivigezo gani hata hizo asilimia zinapatikana ila nimeongea kwa kuwa mkuu wa nchi kasema
 
Mbona husemi Singapore??
Singapore iliwai kua chini ya mkoloni kwa miaka mingapi na ukoloni pale Singapore ulifanya nini?
Je, baada ya uhuru Singapore ilishika au tekeleza sera gani mkuu? Sio kama huku Ujamaa
 
Wewe ni ngumbaru tu, kwa muandiko wako wa kutojua tofauti ya diriki na diliki umeshindwa kujua lugha yako mwenyewe unajifaragua vipi kuchambua siasa.
Nani alikuambia kua ni lazma ili uwe mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu ? Bila shaka utakua wewe ni wale wafuasi wa kukinukisha
 
Nani alikuambia kua ni lazma ili uwe mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu ? Bila shaka utakua wewe ni wale wafuasi wa kukinukisha
Wewe si tu hujui kuandika Kiswahili.

Hujui hata kusoma na kufikiri.

Hakuna nilipoandika ili uwe Mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu.

That is a logical non sequitur fallacy.

Kuna Watanzania wengi wajinga kama wewe.
 
Siyo kosa lake ni matokeo ya WIZI wa mitihani.wengine walienda shulle kukua viwili will tu.
Siyo kosa lake ni matokeo ya WIZI wa mitihani.wengine walienda shulle kukua viwili will tu.
CCM inashirikiana na majinga ya kichina na kirussia. Ndiyo maana yanateka watu na kuumiza wananchi wake wasio na hatia.
 
Hivi sometimes mnawaza kwa kutumia nini?
Huyu ni chawa, there is no way mtu mwenye akili timamu akaandika hiki kitu ukiangalia na Hali halisi iliyoko nchini.
Huhitaji kuwa politicians kuelewa kuwa the country is rotten to the core .
 
Wewe si tu hujui kuandika Kiswahili.

Hujui hata kusoma na kufikiri.

Hakuna nilipoandika ili uwe Mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu.

That is a logical non sequitur fallacy.

Kuna Watanzania wengi wajinga kama wewe.
Just take note on what am schooling you rather than expressing your null and void allegations on me
 
Just take note on what am schooling you rather than expressing your null and void allegations on me
Hakuna nilipoandika ili uwe Mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu.

Ila wewe ngumbaru, kwa ungumbaru wako, kwa kuwa hujui kusoma kwa ufahamu, ume soma kitu ambacho sijaandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…