Mwisho wa siku utakuja kukumbuka kua unaelekezwa iliyo kweliHakuna nilipoandika ili uwe Mtanzania inakubidi uongee au uandike Kiswahili sanifu.
Ila wewe ngumbaru, kwa ungumbaru wako, kwa kuwa hujui kusoma kwa ufahamu, ume soma kitu ambacho sijaandika.
Wewe ngumbaru jifunze kuandika herufi za Kiswahili kwanza kabla ya kujifaragua kuhusu kweli.Mwisho wa siku utakuja kukumbuka kua unaelekezwa iliyo kweli
Kulitetea taifa lako wakati hujui kusoma kwa ufahamu?Sina cha kupoteza katika ilo bali kuendelea kulitetea Taifa langu.
Uadui huo ni upi?Leo Muslim Brotherhood imepukutika... Sema ni kwakua utawala wetu una upendo na huruma sana. CHAMA KINACHODIRKI KUISEMA NCHI KUA AIFAI NA IFUNGIWE MISAADA AU KUSHIRIKIANA NAYO HICHO CHAMA NI ADUI YA WATANZANIA SOTE.
Bishweko kwa kiswahili ni takataka
Then msikilizen Musiba
AnanukaMoja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini.
Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwahi kuomba hata na kupanga safari kwenda nchi mbalimbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi hilo hilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania. Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi hilo linataka mabadiliko fulani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi hata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchini Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikuwa kimeifanya Misri kama uwanja wa vita hasa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Ata mabadiliko kwenye sekta ni mchakato jumuishi sio kama kwasasa ni madai ya kundi flani basi.Uadui huo ni upi?
Kwani chama kikiwa madarakani hakitakiwi kukosolewa ili hali kinakosea?
Sio kama nchi haifai ila Mfumo uliopo ulikuwa unafaa ila kwa sasa kuna hitaji la mabadiliko.
Mbona ni wahubiri wazuri wa Mabadiliko kwenye sekta zingine ila kwenye suala la kubadilisha Mfumo ambao unalenga kujenga umoja na ushirikiano kwa wananchi, mnazubaisha.. kwanini?
Nani ambae mlikubali anavyo ongoza?
uzi mreefu ukitoka hapa unaenda kubugia ARV zaoMoja kwa moja kwenye mada
Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania haifai basi kundi hilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini.
Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwahi kuomba hata na kupanga safari kwenda nchi mbalimbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi hilo hilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania. Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi hilo linataka mabadiliko fulani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi hata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchini Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikuwa kimeifanya Misri kama uwanja wa vita hasa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Polepole ni wa Chama Gani ???!! 🤣🤣🤣🤷🏿♂️ !Moja kwa moja kwenye mada

Wahuni wengine akashindwa ???! 😳Jpm kwa sababu alikuwa mzalendo na aliua wahuni
Yaani ilifaa mbowe na Lissu wawe walishanyongwa siku nyiiingi! Sijui kwa nini hawa wasaliti bado wana survive?Leo Muslim Brotherhood imepukutika... Sema ni kwakua utawala wetu una upendo na huruma sana. CHAMA KINACHODIRKI KUISEMA NCHI KUA AIFAI NA IFUNGIWE MISAADA AU KUSHIRIKIANA NAYO HICHO CHAMA NI ADUI YA WATANZANIA SOTE.
Ni Mchakato wa Muda gani Mkuu?Ata mabadiliko kwenye sekta ni mchakato jumuishi sio kama kwasasa ni madai ya kundi flani basi.
huu ujinga wa maccm ndio hua siupendi aiseeMoja kwa moja kwenye mada