Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Angekuwa ni kiongozi mwenye aibu asingekuwa anatoa hotuba za kujionyesha kama mkuu wa nchi anayekubalika.
Watumishi wa umma maofisini hawampendi na hawamtamki vizuri
Chama kinachokubalika ni Chadema maana kinaonekana kama chama cha ukombozi kwa sasa.
Samia na genge la wanaCCM mtandao ni majambazi ya kisiasa. Tembelea ofisi zote za umma ukae kimya utasikia mijadala yao.