Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
ok.🐒Angekuwa ni kiongozi mwenye aibu asingekuwa anatoa hotuba za kujionyesha kama mkuu wa nchi anayekubalika.
Watumishi wa umma maofisini hawampendi na hawamtamki vizuri
Chama kinachokubalika ni Chadema maana kinaonekana kama chama cha ukombozi kwa sasa.
Samia na genge la wanaCCM mtandao ni majambazi ya kisiasa. Tembelea ofisi zote za umma ukae kimya utasikia mijadala yao.
Cdm hawahitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali cdm ni chama kikuu cha siasa hapa nchini. Ndio maana hajisniriki uchaguzi wa kihuni, lakini ndio chama kinachojadiliwa zaidi. Chama hiki cha cdm ndio kinafanya ccm wapore chaguzi bila aibu, na sasa kimeamua kufanya mauaji baada ya kukataliwa.Debe tupu haliachi kutoka. Chadema sio chama kikuu cha upinzani Tanzania bali ni chama kikuu cha wapiga kelele mitandaoni Tanzania! Ahahahahaha!!
The point is, kinajadiliwa na nani? Na ninyi nyumbus wa mitandaoni? Ahahahahaha!!Cdm hawahitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali cdm ni chama kikuu cha siasa hapa nchini. Ndio maana hajisniriki uchaguzi wa kihuni, lakini ndio chama kinachojadiliwa zaidi. Chama hiki cha cdm ndio kinafanya ccm wapore chaguzi bila aibu, na sasa kimeamua kufanya mauaji baada ya kukataliwa.