Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mataga mmebaki kama kuku aliyekatwa kichwa!Hahahaaa mgombea wenu kaipata leo huko Kagera😁😁😁!Heko watu wa kagera kwa kumnyoosha huyo jamaa!Huyu mpuuzi tu anajua hawezi kupata urais anachotaka ni kutuharibia nchi kisha aende kwa mahawala zake Ulaya.
Ni YEYE aliyebeza ripoti ya makinikia akasema tutashitakiwa MIGA.
Ni YEYE aliyebeza jitihada za kupambana na uhaini Kibiti.
Ni YEYE asiyeamini katika maendeleo ya vitu na ndiyo maana chama chake hakina ofisi maalumu ya makao makuu
Ni YEYE anayedhani maendeleo ya watu hayahitaji maendeleo ya vitu.
Ni YEYE mropokaji asiyejielewa anaongoza nyumbu wenzie wasiojitambua
😂Kwa mfano tu alitamka waziwazi Kilimanjaro wasubiri na kweli huko hakuna chochote kinachoendelea ni ubaguzu wa kiwango kibaya na haukubaliki nchi hii.
Atakwambia Lisu ndo anagawa watanzaniaSa si bora Lisu kuliko uncle ambaye anasema wakichagua upinzani hapeleki maendeleo.
Ni mbaya sana kusimamisha maendeleo ya watu fulani kwa chuki binafsi, ameonesha kuwa ni mkabila, mkanda na mbaguzi mkubwa na mengi yanaendelea kujulikana. Hivi karibuni Lissu amefungua watu macho kumbe aliyepewa tenda ya ujenzi wa Kigogo-Busisi ni shemeji na pia anayeidhinisha fedha za miradi mikubwa ni mpwa wa mtu. Yapo mengi na yatajulikana yote ndio watu watamjua mtu huyu vizuri. Watu wameanza kuelewa kwanini vyombo vya habari viliminywa sana, kumbe....!😂
Nilijua tu, lkn embu tukumbushane tu kama Taifa moja, tukianza kupima Kwa namna hii tutajikuta kumbe Miradi mingi ipo Kwa watu wa Dar pekee, huku tukisahau kwamba, Arusha ndio kwenye mradi wa maji wa kihistoria na wenye gharama kubwa kuliko pahala pengine Tz
Ndio ambako miaka zaidi ya ishiri treni ilikuwa imestisha safari zake na sasa treni Unakwenda n.k
Usemi ule ama una maana tofauti nauhalisia maendeleo hayana vyama ilhali ukichagua tofauti hupati maendeleo.Ukabila upi na upendeleo upi wakati kila mahali Miradi iko?
Huyu mpuuzi tu anajua hawezi kupata urais anachotaka ni kutuharibia nchi kisha aende kwa mahawala zake Ulaya.
Ni YEYE aliyebeza ripoti ya makinikia akasema tutashitakiwa MIGA.
Ni YEYE aliyebeza jitihada za kupambana na uhaini Kibiti.
Ni YEYE asiyeamini katika maendeleo ya vitu na ndiyo maana chama chake hakina ofisi maalumu ya makao makuu
Ni YEYE anayedhani maendeleo ya watu hayahitaji maendeleo ya vitu.
Ni YEYE mropokaji asiyejielewa anaongoza nyumbu wenzie wasiojitambua
Uwanja wa Chato ulipitishwa na Bunge; labda tu uulize zabuni, lakini bajeti ya uwanja wa Chato iko kwenye hansard za bunge wazi kabisa. Niliwahi kuzileta hapa miezi kadhaa iliyopita mpaka watu akazidi kukasirika kwa nini bunge lilipitisha vile; wakabaki kulilalamika tu kuwa kwa nini uwanja huo haukujengwa Geita mjini badala yake ukajengwa Chato. Hili ni swali jingine lakini siyo kuwa haukupitishwa na Bunge; ni vizuri kuongea mambo ukiwa na data kamili kuliko kuongeza kwa hisia tu.
Uwanja wa Chato ulipitishwa na Bunge; labda tu uulize zabuni, lakini bajeti ya uwanja wa Chato iko kwenye hansard za bunge wazi kabisa. Niliwahi kuzileta hapa miezi kadhaa iliyopita mpaka watu akazidi kukasirika kwa nini bunge lilipitisha vile; wakabaki kulilalamika tu kuwa kwa nini uwanja huo haukujengwa Geita mjini badala yake ukajengwa Chato. Hili ni swali jingine lakini siyo kuwa haukupitishwa na Bunge; ni vizuri kuongea mambo ukiwa na data kamili kuliko kuongeza kwa hisia tu.
Kwani chato ipo burundi? Wanaishi chato sio watanzania?Acha uongo!
*Taja wilaya nyingine nchini yenye kiwanja cha ndege kama cha Chato!
*Taja wilaya nyingine ambayo kunafanyika mpango wa kujenga hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda nzima!
*Taja wilaya nyingine nchini ambapo kuna mpango wa kujenga uwanja mkubwa wa kimataifa wa mpira wa miguu!
Marais waliotangulia wangeamua wajenge viwanja vijijini kwao nchi hii ingekuwaje?
Kuna miradi kama Barabara, shule, hospitali, maji nk yenye kufanana na hiyo hakuna mtu amestuka wala kuhoji!
Ila miradi inayofanyika Chato ni ya ziada, ni mzigo kwa taifa! Ukiangalia sio kila mkoa nchini una kiwanja chenye hadhi kama ya Chato!
>>Je, kuna uhusiano wowote wa Rais kutokea Chato na miradi hiyo kwenda Chato au ni coincedence tu?
Hapana hiyo siyo hoja iliyozungumzwa na Lissu pamoja na wafuasi wake wote; wao wanasema kuwa umejengewa bila kuidhinishwa na Bunge, yaani rais alijiamulia tu! Na hapo ndipo ninapoona wote hao ni mbugila tupu.Kwani hoja siku zote si ndiyo hiyo ya kwanini umejengwa chato ambako hakuna population ya kujustfy ujenzi wa uwanja wa kimataifa
Hayo ndio manufaa ya bunge liveUwanja wa Chato ulipitishwa na Bunge; labda tu uulize zabuni, lakini bajeti ya uwanja wa Chato iko kwenye hansard za bunge wazi kabisa. Niliwahi kuzileta hapa miezi kadhaa iliyopita mpaka watu akazidi kukasirika kwa nini bunge lilipitisha vile; wakabaki kulilalamika tu kuwa kwa nini uwanja huo haukujengwa Geita mjini badala yake ukajengwa Chato. Hili ni swali jingine lakini siyo kuwa haukupitishwa na Bunge; ni vizuri kuongea mambo ukiwa na data kamili kuliko kuongeza kwa hisia tu.
Hamna lolote! Acacia ilikuwa ni subsidiary ya Barrick, halafu Barrick ikaamua kuingilia kati na kuidissolve Acaia, badala yake ikakubaliana na serikali kuundwa kwa Twiga. Kwa hiyo mpaka sasa hivi tunavyoongea Acacia ni nonexitent entity, na iwapo Barrick walikubaliana na serikali, na tayari wameshailipa serikali sehemu ya zile damages, sijui ni nani atapeleka mashitaka hayo unayohofia zaidi kuliko kutunza raslimali zako. Yaani kuogopa kushitakiwa kwa kulinda mali zako inakuwa ni tatizo kweli jamani? Tanzania tulipigania uhuru dhidi ya umoja wa mataifa halafu leo tuogope kupigania raslimali zetu kutoka makampuni ya watu binafsi kweli?
Anayeogopa kushitakiwa kuingia ndani ya nyumba yake akaamua kubaki nje usiku kucha hasitahili kumiliki nyumba hiyo!
Basi na wewe pia hujui kilichopitishwa na Bunge. Muswada ulikuwa ni ujenzi wa regional airport ya mkoa wa Geita, muswada haukusema uwanja ujengwe katika eneo lipi. Hivyo ndivyo muswada ulivyopitishwa, halafu Bunge halikutaka kujua uwanja huo utajengwa wapi, na kuacha swala la kuamua pa kujenga uwanja liwe chini ya Wizara. Sioni kama kuna sheria au taratibu zozote zilizovunjwa. Wizara iakaamua kuujenga Chato!!!!..hakuna mbunge wa ccm aliyekuwa na ujasiri wa kupinga Magufuli kujengewa uwanja wa ndege kijijini kwao.
Ukabila upi na upendeleo upi wakati kila mahali Miradi iko?
On top of that, ni mbunge gani wa chama tawala angekuwa na guts za kupinga ujenzi wa uwanja wa ndege Chato? Kama marehemu Samwel Sitta alishapokonywa kadi ya uanachama kwa kuibana serikali kwenye EPA, Ndugai angeponea wapi? Mbunge gani wa CCM huwa anapinga hoja bungeni? Ndio sababu tulio wengi tunatilia shaka kwamba huenda bunge lijalo likabadili katiba ili mzee baba awe raisi wa MUYAYA kama Museveni na Kagame. Hili nalo laja soon.Hayo ndio manufaa ya bunge live
Kuna thread hii hapa; nadhani inakufaa sana weweUsitufanye wajinga wote serikali ya CCM itengeneze tatizo la kusaini mikataba mibovu watu wavune rasilimali zetu miaka nenda rudi serikali ya CCM ikiwa inatawala muda wote halafu aje mmoja aseme anakamata makinikia ambayo yanasafirishwa kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa na serikali ya CCM hivi hapo kuna mtu anapigania madini kweli. Tutumie akili kufikiria tusitumie kuvukia barabara tu