Uchaguzi 2020 Chama kinamkana mgombea?

Uchaguzi 2020 Chama kinamkana mgombea?

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.

Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.

Ni sad story haswa, lakini sisi wapiga kura tunajifunza. Kuna mojawapo ya tweets za mbunge fulani zilionekana kukana kile alichokisema mgombea wao ingawa ilikanushwa kwa mashaka.

Leo hii tumepata ushahidi mwingine wa namna gani chama kinamkana mgombea na kumtwisha zigo zito.

Naona ni namna gani demokrasia inavyochezewa katika hili, yaani udhamini ni wa kwenye karatasi tu na inapokuja takwa la kuwajibika Chama kinakimbia.

Tujadili bila matusi na tuvumilie tunapoambiwa ukweli.
 
IMG-20201002-WA0008.jpg
 
ww mjanja...unaenda sawa na script

haya fasta kachukue buku7 ununulie bando na umlipe na Mwajuma ndala ndefu
 
jingalao,

Hoja zilikuwa ni za viwanda 100@mkoa, lakini unakimbia kila siku. Na mzee wa jazba sasa hivi haongelei ule utapeli wa viwanda kabisa. Sasa tuache kujadili mambo ya msingi tujadili haya Majungu?
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu

Mungu kumbuka chozi langu dhidi ya mja wako Lissu nililotoa wakati ameumizwa.Endelea kumlinda,kumbariki Na kumpa nguvu.

Amen
 
Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Kura yangu kwa Lissu!Hizo propaganda zenu mfu zimeshafeli!
 
Back
Top Bottom