jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Wanasema ukiwa na mitego na ujuaji mwingi mwisho wa siku utajitega mwenyewe.
Kuna Chama kimeonesha kukana mgombea wake, yaani kumbe anayoyafanya au kuyasema mgombea wake Chama hakiyatambui.
Ni sad story haswa, lakini sisi wapiga kura tunajifunza. Kuna mojawapo ya tweets za mbunge fulani zilionekana kukana kile alichokisema mgombea wao ingawa ilikanushwa kwa mashaka.
Leo hii tumepata ushahidi mwingine wa namna gani chama kinamkana mgombea na kumtwisha zigo zito.
Naona ni namna gani demokrasia inavyochezewa katika hili, yaani udhamini ni wa kwenye karatasi tu na inapokuja takwa la kuwajibika Chama kinakimbia.
Tujadili bila matusi na tuvumilie tunapoambiwa ukweli.